WADAU NAOMBENI MSAADA KWA SABABU NACTE WAMEWEKA VYUO VICHACHE NA VYUO NAVOTAKA KUAPPLY HAVIJAWEKWA KAMA DIT , UDOM, RUCO UDSM, SUA ETC NA DEADLINE INAKARIBIA KWANI SIWEZI KUSUBIRI TCU NIACHANE NA HAO NACTE?
Hahahaha1 haya buana ila mdg wng amemalza diploma mwaka jana ameomba kupitia na wala sio vyuo vya ufundi
Ameomba chuo cha uhasibu ArushaAmeomba chuo/vyuo gani? Tuanzie hapo.
Ameombq IFm, ameomba ZIFAAmeomba chuo cha uhasibu Arusha
Ameombq IFm, ameomba ZIFA
Sawa
Kwani tatizo tcu na nacte au tatizo ni university na instituteMkuu ni mgumu kuelewa au mbishi?! Sasa tuanzie hapo,unajua tofauti ya Institute na University?! Hvyo vyuo ulivyovitaja vyote ni Institute,so wait mpaka TCU wakifungua udahili wa pamoja ndo ataweza kuchagua Universities
KwannKila la heri, hasa huko zenji
Kwani tatizo tcu na nacte au tatizo ni university na institute
Kwani tatizo tcu na nacte au tatizo ni university na institute
Kwani tatizo tcu na nacte au tatizo ni university na institute
Hahahahatatizo muda (mna haraka mno na nduguyo)
Kwann
Post no 16 amekujibu, muulize zaidi akupe undani please bado siku kama 8 hivi to 31st/May 2016SAWA NDUGU KWA HIYO WENYE DIPLOMA WATARUHUSIWA KUOMBA TCU?
Kitakuwa kipo TCU, I guess! Post #16 amejibu muulize zaidisasa ni vipi kama chuo nachotaka hakija wekwa NACTE maana hata mimi sielewi nina diploma nataka kujiendeleza lakini chuo nachokitaka sikioni sasa sijui chochote
Kitakuwa kipo TCU, I guess! Post #16 amejibu muulize zaidi
Not at all!NA KAMA MTU KALIPIA ELF 50 KWA NJIA YA MPESA KWENDA NACTE VIPI ANAWEZA KUTUMIA HIYO GHARAMA KUINGILIA TCU? KWA AJIRI YA EDIT SELECTION
DIT ipo NACTEWADAU NAOMBENI MSAADA KWA SABABU NACTE WAMEWEKA VYUO VICHACHE NA VYUO NAVOTAKA KUAPPLY HAVIJAWEKWA KAMA DIT , UDOM, RUCO UDSM, SUA ETC NA DEADLINE INAKARIBIA KWANI SIWEZI KUSUBIRI TCU NIACHANE NA HAO NACTE?