Deadline NACTE ni leo-20/08/2017

Deadline NACTE ni leo-20/08/2017

Niko nang'ang'ana kufanya application ya education, nilifanya ya health, wananiambia tayari Niko registered sasa nifanyeje wakuu? Ina maana hawaruhusu Ku apply education wakati ume apply health?
Mbn mm niliaply health na education kwa uwo muhamala mmoja tu!!!. Maybe yawezekana coz mimi niliaply mapema kabsa kabla awajabadirisha amount, maana nililipia 30Tsh ndo maana awakunitaka niongeze tena.

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Back
Top Bottom