Fanyeni marekebisho ya mwisho ( in terms of choices of courses, where to study, etc) leo ndio deadline ya kuomba vyuo vya diploma/certificate.
Kuwa macho na mitandao, inaweza kukata while on the last key for SEND! And you will be done. Jipe muda kuwa say mwisho ni saa sita mchana nikamilishe kila kitu.