deadline kwa wale wa second round imeongezwa

MKINDE

Member
Aug 16, 2012
43
45
maelezo zaidi ndani ya websity ya tcu, asanteni http://www.tcu.go.tz/info/news/view_news.php?id=91
 
hivi vyuo mwaka huu vinafunguliwa lini kama ndo kwanzaaa mambo bado. HESLB huko sasa ndo usiseme.

  • :israel:
 
mh.....haya bwana...ila ni poa ili kila mtu apate haki ya elimu...NO HURRY IN TANZANIA!!!!
 
jaman mbona tcu wanatoa second selection kwaupendeleo arch bishop mihayo tayar angalieni web yao
 
Iv hw bod na tcu wanataka ku2pa mikopo 100% wote!!aaaaargh!c waseme km 2mekosa,cc wa bush 2anze kupga jembe along klmo kwanza!
 
Back
Top Bottom