To me most dangerous creature on earth ni women. Tazama mauaj yanayotokea eg. Mushi. Munisi
Jina lako linaspecify akil yako huwa uunawaza na kuchanganua kupitia kichwa kidogo mwilin mwako
kiwatengu hivi kumbe mbu nae ni ni animal?
Leopard kweli ni hatari lakini nadhani hapo unazungumzia "the killing machine" ambapo Tiger ndo anatop the list kama sijakosea1. Mosquito
2. Venomous snakes
3. Scorpion
4. Lion
5. Crocodile
6. Elephant
7. Hippopotamus
8. Jelly fish
9. Shark
10. Bear
FaizaFoxy mbona hapo kwenye List, simwoni Chui?
Chui ni mnyama hatari sana hata kuliko Simba.
Inawezekana hawa walioandaa hii list hawakuchunguza kabisa
juu ya Chui...
Chui ni hatari hata kuliko huyo kiboko hapo juu.
kiwatengu hivi kumbe mbu nae ni ni animal?
A mosquito is an insect, and insects are considered animals, so yes, a mosquito is an animal.
Leopard kweli ni hatari lakini nadhani hapo unazungumzia "the killing machine" ambapo Tiger ndo anatop the list kama sijakosea
Kha.....sasa insect sio animal...!! Hii mpya aisee
A mosquito is an insect, and insects are considered animals, so yes, a mosquito is an animal.