De terugkeer van .......per uur per uur

De terugkeer van .......per uur per uur

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
Hodi Hodi wanaJF

Wote wazima wa afya
Mchango yenu imekuwa ya Tija kwa taifa la Tanzania kwa sisi tuesomayo tukiwa guest
na sasa najiunga rasmi

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]Mungu ibariki Afrika[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wabariki viongozi wake[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hekima, umoja na amani[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hizi ni ngao zetu[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afrika na watu wake[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ibariki, Afrika[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ibariki, Afrika[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tubariki, watoto wa Afrika[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mungu ibariki Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dumisha uhuru na umoja[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wake kwa waume na watoto[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mungu, ibariki[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania, na watu wake[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ibariki, Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ibariki, Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tubariki, watoto wa Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hodi Hodi wanaJF

Wote wazima wa afya
Mchango yenu imekuwa ya Tija kwa taifa la Tanzania kwa sisi tuesomayo tukiwa guest
na sasa najiunga rasmi
 
Duh Karibu hizi hodi nyingine kwakweli hata ukiwa bafuni unazisikia...!!!
Karibu Jamvini 🙂

The Return of.... per uur per uur....
karibu tena au ndio karibu ya mara ya kwanza ?
Anyway karibu is karibu
kwahiyo KARIBU
 
tupe tafsiri ya hiyo heading.
karibu jamvi.
 
Kha, we Kupeng'e ulikuwa wapi weye? Mbona uliadimikaga hivyo weye? au ndio walikuzabua la maisha ukarudi kivingine

BTW Karibu sana
 
Hodi Hodi wanaJF

Wote wazima wa afya
Mchango yenu imekuwa ya Tija kwa taifa la Tanzania kwa sisi tuesomayo tukiwa guest
na sasa najiunga rasmi


Kupeng'e! Welkom! ik had niet gedacht dat jij nederlands bent!
 
PER PEURR!!....? Huo umeme umeutoa wapi?.. hebu gonga na mikono dada!
 
Back
Top Bottom