Ddc waliliona hili.

BRO LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2011
Posts
838
Reaction score
628
Nani kauona mwaka,
tunamaliza mwaka,
ni majaliwa yake mungu,
kuuona mwaka.

Ingawa kuishi ni bahati na kufa ni lazima kwetu...
ni vizuri ndugu kupanga mikakati kuchangia kuokoa maisha yao.....
ufahari msibani na makemera ya video mazishi...

NI MAJALIWA YAKE MUNGU KUUONA MWAKA.
DDC Mlimani park.(HURUMA KWAWAGONJWA)

makamera misibati na masuti wakati m2 kafa kwa kushindwa kumudu gharama za kupelekwa India kwa matibabu siyo ishu.
Mwaka 2013 uwe wa mabadiliko.

NAWATAKIA KILA LA HERI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…