DCI: Tumemchoka Mange

kuna haja gan Lissu kueleza ukweli ambao tayari wanao
 
Hao wanaosoma page ya huyo frustrated whistlebrower hawana akili pia.
 
Huyo Mange ndio ana wafanya Chadema waonekane wote wajinga wajinga na wapuuzi tuu...yani chadema nzima wanamtegemea Mange tena kwa uzushi....
Ccm manyoya ya mwili mzima yamewasimama kusubiria kusikia Mange atasema nini!

Kwa kuwa hawataki watu waseme (rejea speech ya kuwashwawashwa) inawawia ngumu sana Mange anaposema.
Wanakuwa kama mavi yaliyotawanywa huishia kunuka tu!
Hayawezi kuirejelea hali yao ya mwanzo.
 
Eti amtaka lissu aeleze ukweli asiingize siasa.

huyu kweli mwehu.
 
Followers wa Mange ni zaidi ya 1m. Sasa utakuta watu humu JF wanajibaraguza baraguza tu kumbe wanamfuatilia kimya kimya. Na kum follow mtu si kwa sababu moja tu. Sababu ni nyingi sana. UHURU!
 
Na kweli Lu mutuz ndo Crime analyst wa Lumumba. Juzi katoa upuuzi wake hapa akielezea tukio la Lissu utafikiri mtoto wa std VII.

ACHA nikae KIMYA...!
Shame


Sent from my HTC U11 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Mange ndio ana wafanya Chadema waonekane wote wajinga wajinga na wapuuzi tuu...yani chadema nzima wanamtegemea Mange tena kwa uzushi....
Huyu Mange lini alipewa kadi ya CHADEMA? Kuuliza siyo kosa maana zama za mwaka 2015 alikuwa shabiki na mwanachama mzuri wa CCM

Sent using Gwikongo s33
 
Mange ameshazika baba na mama
Hivi hawa watu wengine huwa wanajiuliza maswali kabla ya kuandika au wanajiandikia tu kwa mazoea?

Yani akiona yeye yupo kijijini, basi anafikiri kila mtu yupo kijijini kama yeye.

Akiona yeye ana baba na mama anaishi, anafikiri kila mtu ana baba na mama anaishi.

Halafu anafikiri kila mtu anaendekeza habari za kuzika dunia hii.

Kuna watu zishafyatuka. Kuna watu wako Tanzania na hawana mgogoro na serikali na kwenye mazishi hawaendi.

Itakuwa Mange?

Pumbavu kabisa.

Sent from my Kimulimuli
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.

Mkilitewa HOJA si mnaleta 28-32........
Matusi ndiyo saizi yenu, huyo Mange ndiyo anawafaa....
Hoja Hamuwezi na matusi Hamuwezi pia......
Msituchoshe.......
 
Hivi waandishi wa hbr wa hicho kijarida hi watz kweli? Hivi wanaijua ccm kuliko nape na kinana hao mbwa.....AU NDO MWENDO WA TOILET PAPER
 
We mbna hutukani au ndo nyie mnakaa nyuma ya kibodi na kutoa RIP, Tuko pamoja kamanda na maneno mengine ya kutiana moyo wakati wenzenu wakipata majanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "The First Amendment to the United States Constitution" katika maisha yako yote?

Kama hujasikia na lugha hii unaifahamu, Google hayo maneno halafu soma.

Ujue kwamba Mange anatetewa na katiba ya Marekani.

Na kama wewe hupendi hayo maneno, bishana na katiba ya Marekani.

Sent from my Kimulimuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…