Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,955
- 33,820
Wanafiki sana hao jamaa wa vibagashia wa Kigoma.Zitto yuko wapi? Muislamu mwenzenu ni rais bara na visiwani hamsemi kabisa. wasaliti wakubwa nyie. matumbo yenu ......
Wanafiki sana hao jamaa wa vibagashia wa Kigoma.Zitto yuko wapi? Muislamu mwenzenu ni rais bara na visiwani hamsemi kabisa. wasaliti wakubwa nyie. matumbo yenu ......
Kuna mengine uko sawa lakini mengine nakushauri uungane na huyo DC.Chanzo kikuu cha kudorora utumishi ni wanasiasa kama yeye sio watumishi wa umma. Yeye mara ngapi anaingilia utendaji wa Halmashauri na kutoa maagizo? Katika utendaji wa kazi kwanza kuna strategic plan ambayo ndiyo inatoa mwelekeo kwa miaka mitatu had mitano wapi taasisi iende; pili kuna bajeti inapangwa kila mwaka kutekeleza kazi zilizokuballika kufanywa, je pesa zonatolewa kwa wakati? Watendaji wanaachwa wafanye kulingana na utaalamu wao au wanaingiliwa na MaDC na MaRC halafu mwisho wa siku kazi ikiharibika wanang'aka wakati wao ndio chanzo? Mfano ni manunuzi na tenda je wanaruhusu sheria ya nanunuzi ifuatwe au kutokana na uharaka wanashinikiza ivunjwe?
Ajira ya mkataba sio suluhisho kwa sababu ajira ya kudumu haizuii mfanyakazi kuondolewa kazini pake anapoharibu kazi na kukiwa na ushahidi wa kumtia hatiani. Pia huyo atakayekuwa anaanua kuwa mfanyakazi asiongezewe mkataba atakuwa na integrity kiasi gani ili asimuonee mfanyakazi kutokana na chuki zao binafsi? Mfano wakati wa uchaguzi ukifika maDED wanaachwa waendeshe uchaguzi kwa .mujibu wa sheria au wanashinikizwa na hao hao MaDC wantangaze aliyeshindwa kuwa ndiye mshindi halafu baadae umlaumu DED au wa chini?
Cheki hili jinga nalo na udini wake!Zitto yuko wapi? Muislamu mwenzenu ni rais bara na visiwani hamsemi kabisa. wasaliti wakubwa nyie. matumbo yenu ......
Tatizo kubwa mnaowasikiliza siyo wahusika na hawasemi kweli.Ni wazi afrika haina haraka. Kuna vitu vinasikitisha mno, hasa mtu mzima kabisa aliyeomba kazi husika yeye mwenyewe bila shuruti akiipata anataka tena kukumbushwa majukumu yake.
Haki za watu hazitakiwi kuamuliwa kishabiki. Pili unapotetea jambo ni vizuri ukawa na uelewa wa kutosha kuhusu jambo hilo. Mimi nimeandika kwa uzoefu wangu .Kuna mengine uko sawa lakini mengine nakushauri uungane na huyo DC.
Kwa mfano kwenye INGO nyingi mikataba ya kazi huendana na mpango mkakati. Nini kinachozuia hilo kuigwa na serikali? Mtu apimwe kwenye utekelezaji wa SP. Najua unaogopa kwa kuzingatia unaowaona waliochafuliwa na wanasiasa na mazoea. Waambiwe wajirekebishe au waondoke. Ukweli inaonyesha kuwa wanaweza Magufuli aliwatisha kidogo tu tukaona mabadiliko!
Mikataba ni muhimu!! Hatuwezi kuishi kijinga limtu linakaa mpaka linafia mezani.
Mabadiliko ni maendeleo! Asante DC
Marekebisho mbali mbali yanahitajika hilo halina ubishi.Haki za watu hazitakiwi kuamuliwa kishabiki. Pili unapotetea jambo ni vizuri ukawa na uelewa wa kutosha kuhusu jambo hilo. Mimi nimeandika kwa uzoefu wangu .
Chukulia mfano rahisi: mfanyakazi amesaini kuwa atakagua mradi katika kijiji X hilo ni moja lakini i kukagua huo mradi anahitaji resources za gari na .mafuta karatasi za kuandikia ripoti nk. lakini anasubiri mwaka mzima unaisha hajapewa hizo resources je utamhukumu tu kwa sababu alisaini mkataba?
Humu JF kunapokuwa na hoja kuhusu watumishi wa umma wa tu wasio na ajira wanatu.mia kama mwanya wa kushambulia watumishi pengine wanafikiri wakiachishwa kazi wao watapata hizo nafasi. Wito wangu kwenu watu wa aina hiyo ni kuwa hizo nafasi za kazi katika utumishi wa umma huwa zinatangazwa sana na mchujo ni wa uwazi kama mtu una sifa apply ushindane upate na kama umeshindwa, kupata naana yake hauko competent hivyo hata hao watumishi wakiondolewa bado hamuwezi kupata hizo nafasi sababu hamko qualified.
Watu.ishi wa umma sio waliosababisha mkose ajira katika utumishi wa umma, wao waliona matangazo ya kazi wakaapply wakafanyiwa usaili wakaonekana wanafaa wakachaguliwa kuajiriwa muwaache wafanye kazi zao.
tunaomba achievements zake akiwa sekta binafsiHoja zenye nguvu kwa taifa (Mkuu wa wilaya ya kigoma).
Pia ameshauri kufanyika kwa mabadiliko ya sheria kwa watumishi wa serikali kwa kupewa mikataba ya muda ya ajira ili waache kufanya kazi kwa mazoea.
Mahawe aliyasema hayo juzi wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwataka viongozi kujibu kero zilizowasilishwa na wananchi.
Mahawe alisema awali alikuwa anafanya kazi sekta binafsi kabla ya kuteuliwa na kuweka bayana kwamba kama kweli wanataka kuijenga Tanzania ya watu waadilifu na wachapa kazi, ifike wakati kubadilishwe sheria za ajira.
“Zisiwe hizi za ‘permanent and pensionable’ (ajira za mkataba wa kudumu). Sheria hii inawaumiza wateuliwa wa Rais hasa wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na wakurugenzi. Watu ambao hawatekelezi majukumu yao katika Halmashauri ni wakuu wa idara,” alisema.
Kwa mujibu wa Mahawe, watu hao hawatekelezi majukumu yao kwa sababu wanajua mkurugenzi atatumbuliwa na mkuu wa idara ya elimu, afya na mhandisi wa majengo wao watabaki.
“Ninaomba ifike mahali Mkurugenzi anavyotumbuliwa aondolewe na wakuu wa idara wote kwa sababu tunawaumiza watu wasio na hatia. Mkurugenzi ni mtu mmoja, chini yake ana wakuu wa idara 14. Wakiamua kumkwamisha, gurudumu haliendi. Watu hawa wanafanya kazi kwa mazoea kwa sababu wanajua hawawezi kuondolewa. Tufanye tu kama sekta binafsi mtu anaajiriwa kwa mkataba maalum,” alisema.
“Utakuta mtumishi ameajiriwa akiwa na miaka 25, anasubiria kufa au kustaafu. Watu wa namna hiyo wamekuwa wakwamishaji wakubwa wa maendeleo,” aliongeza.
“Hapa kwetu kwa mfano, tumepata changamoto ya wizi wa dawa kwenye halmashauri yangu. Zahanati 10 zimeibiwa dawa ambazo zinafanana na zinauzwa mtaa wa pili watu wapo na wanaendelea kula mshahara.
“Makamu Mwenyekiti bunge lipo na mimi nilishapita bungeni. Bunge lipo kwa ajili ya kubadilisha sheria. Tusiendelee kuishi kwa mazoea. Kama kweli tumepanga kumsaidia Rais, tubadilishe sheria badala ya watu kusubiri kustaafu , basi wafanye kwa mikataba,’ alisema.
MADUDU BANDARI
Mkuu huyo wa wilaya alisema kero zilizoko bandarini ni nyingi kutokana na kuwapo kwa tozo nyingi na kusababisha kukosekana kwa mapato.
“Nikiangalia fedha inayopotea hapa na Rais anaenda nje kutafuta fedha, ninaumia sana. Ushauri wangu hizi taasisi kubwa mfano TRC (Shirika la Reli Tanzania), TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania na TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania) ifike mahali wawekwe watu ambao wana uzoefu wa biashara.
“Serikali inapata hasara na mtu hajali ilimradi anakula ana gari lina kiyoyozi maisha yake yanaendelea na watoto wanasoma Ulaya. Kwa namna hii hatutatoboa,” alisema.
Alisema kuna mambo ambayo yako ndani ya uwezo na anapoteuliwa hajawekwa hapo kama sofa. Kazi yake ni kuishauri serikali jambo gani la kufanya na kama kuna kikwazo anaeleza ili mambo yaende.
Alisema jambo jingine linalokera ni wakala wa serikali wanaohusika kufanya maisha ya wananchi kuwa magumu.
“Huwezi kuamini maji ya kunywa au juisi yenye ithibati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kama vinavuka kwenda Congo ni lazima watu wa mionzi wachukue kwenda kupima kabla ya kuruhusiwa.
WATUMISHI ARDHI WACHONGEWA
Pia alisema ana mwaka mmoja na miezi miwili tangu alipofika Kigoma na katika majukumu yake mengi anayoyafanya ni kusuluhisha kesi za ardhi.
“Mafaili mengi ni ya malalamiko ya ardhi katika kujifunza kwangu. Nilichogundua changamoto nyingi zilisababishwa na watumishi wa ardhi ambao hawakuwa waaminifu.
“Serikali imeshapata hasara kubwa kupitia watu wa namna hii. Nilishawahi kwenda kusuluhisha mgogoro ambao halmashauri ilikuwa inadaiwa zaidi ya Sh milioni 287 na Sh. milioni 100 imeshalipwa tukawa tunadaiwa Sh milioni 187,”alisema.
Mahawe alisema alipofuatilia na kwenda kufanya vikao na wazee wa eneo husika, ilionekana ni kesi ya kutengenezwa na waliokuwa watumishi wa ardhi walijificha kupitia kivuli cha wananchi ambao hawamiliki ardhi hiyo.
“Utapeli upo kupita kiasi, hao watu wanatengeneza na kujifanya wanafanya kazi ofisi ya Rais au TAMISEMI wanakupigia simu za vitisho. Hao ni watu waliotengenezwa na watumishi waliopita katika hii Halmashauri,” alisema.
Chanzo: Nipashe
Jinga mama yako, sawa?Cheki hili jinga nalo na udini wake!
Huo ni wivu tu.inawezekana huyo anavinasaba vya watu wa kigoma.je hiyo serikali inawalipaje hao wafanyakazi.labda yeye huko alikofanya kazi alikuwa analipwa vzr.unaweza dhani unatatua tatizo kumbe unatengeneza tatizo jingine mshahara laki mbili kwa nn wasione.?Hoja zenye nguvu kwa taifa (Mkuu wa wilaya ya kigoma).

Watz akili zao cjui wanazitoa wapiKuna mengine uko sawa lakini mengine nakushauri uungane na huyo DC.
Kwa mfano kwenye INGO nyingi mikataba ya kazi huendana na mpango mkakati. Nini kinachozuia hilo kuigwa na serikali? Mtu apimwe kwenye utekelezaji wa SP. Najua unaogopa kwa kuzingatia unaowaona waliochafuliwa na wanasiasa na mazoea. Waambiwe wajirekebishe au waondoke. Ukweli inaonyesha kuwa wanaweza Magufuli aliwatisha kidogo tu tukaona mabadiliko!
Mikataba ni muhimu!! Hatuwezi kuishi kijinga limtu linakaa mpaka linafia mezani.
Mabadiliko ni maendeleo! Asante DC
Mental health inakusumbua!Jinga mama yako, sawa?
Wabunge wana ajira ya mkataba na tunaona matokeo yake.Chanzo kikuu cha kudorora utumishi ni wanasiasa kama yeye sio watumishi wa umma. Yeye mara ngapi anaingilia utendaji wa Halmashauri na kutoa maagizo? Katika utendaji wa kazi kwanza kuna strategic plan ambayo ndiyo inatoa mwelekeo kwa miaka mitatu had mitano wapi taasisi iende;
pili kuna bajeti inapangwa kila mwaka kutekeleza kazi zilizokuballika kufanywa, je pesa zonatolewa kwa wakati? Watendaji wanaachwa wafanye kulingana na utaalamu wao au wanaingiliwa na MaDC na MaRC halafu mwisho wa siku kazi ikiharibika wanang'aka wakati wao ndio chanzo? Mfano ni manunuzi na tenda je wanaruhusu sheria ya nanunuzi ifuatwe au kutokana na uharaka wanashinikiza ivunjwe?
Ajira ya mkataba sio suluhisho kwa sababu ajira ya kudumu haizuii mfanyakazi kuondolewa kazini pake anapoharibu kazi na kukiwa na ushahidi wa kumtia hatiani. Pia huyo atakayekuwa anaanua kuwa mfanyakazi asiongezewe mkataba atakuwa na integrity kiasi gani ili asimuonee mfanyakazi kutokana na chuki zao binafsi? Mfano wakati wa uchaguzi ukifika maDED wanaachwa waendeshe uchaguzi kwa mujibu wa sheria au wanashinikizwa na hao hao MaDC wantangaze aliyeshindwa kuwa ndiye mshindi halafu baadae umlaumu DED au wa chini?
Shida hawa viongozi wanatolewa mitaani ghafla wengi wao hawajui taratibu za kiutumishi.Wakiona viongozi wakubwa wamekuja nikuropoka tu ili waonekane mimi nashauri hawa ambao hawakuwahi kuwa watumishi wa umma kabla ya vyeo vyao vipya ndio wapewe mikataba na Watumishi waendelee kupimwa utendaji kazi kwa mfumo uliopo(OPRAS)Tatizo kubwa mnaowasikiliza siyo wahusika na hawasemi kweli.
Nakuhakikishia ukiwasikiliza zaidi watumishi wa chini utakuta tatizo tofauti.
Kwanza vyeo vya DC/RC vinapaswa kufutwa kwasababu ukiachana na masuala ya ulinzi na usalama Pamoja na maafa Hawa watu hawana direct majukumu wanayofanya!!
Sasa kwakuwa Kuna siasa za teuzi zimeingia, DCs/RCs ili kujionesha wanapiga kazi wanajifanya wako bize na mambo ambayo hata hayaeleweki.
Jambo la msingi RCs/DCs wafutwe, DEDs utaratibu wa kuwapata ubadilike na waongezewe masuala ya ulinzi na usalama. Halafu wakuu wa Idara wapewe nguvu kumsaidia DEDs.
Vile vile, Teuzi za kuokota okota zife kuwepo na CLEAR CAREER DEVELOPMENT AND CORPORATE LADDER.
Haiwezekani watu wanafanya kazi miaka 25 halmashauri na wanna elimu nzuri lakini kinaokotwa kijitu Fulani kwasababu kinajua kujipendekeza au kitoto cha kigogo wa chama kinapewa UDED!!!
Pia, watumishi wapewe haki zao halisi, Sasa hivi watumishi ngazi za chini wanatumia pesa zao kufanya kazi za serikali.
Mfano, Binafsi naishi Karibu na mpakani na Kenya. WEO na VEO huwa wanapiga simu hata saa 12 jioni ( siyo muda wa kazi ) kuwa Kuna Wamasai wa Kenya wameingiza MIFUGO yao Tanzania inabidi atumie pesa yake, kukodi bodaboda kwenda huko. Huyu Hana usafiri na halipwi overtime.
Wakati huo huo, anakaa kwenye nyumba ya kupanga malipo mwenyewe na mshahara TGS ( 400,000) na hapo bado makato mengine ni ya wizi ya vyama vya wafanyakazi.
Maana vyma vya wafanyakazi vinashiriana na waajiri kukata mishahara ya watumishi kwa lazima kwa jina la Ada ya uwakala kwakuwa Sheria inatoa mwanya huo.
Sasa huwezi kulazimisha watu wafanyakazi kazi kuzidi jinsi unavyowawezesha kufanya.
Mhandisi anasimamia jengonla 15M halmashauri, na ndio mradi uliopo atafanyaje?
Kingine, kinachokwamisha serikali ni MAAMUZI mengi kutokuwa shirikishi, KILAZA MMOJA au Kundi la VILAZA huko JUU ambao hata hawafanyi kazi FIELD na hawana Uelewa wa Nini kinaendelea, wanakaa tu wanapanga na kuamua halafu wanawashurutisha watumishi ngazi za chini KUTEKELEZA kwa Kuwatishia. Kwahiyo wanachofanya ni kulipua tu ili kuwaridhisha, na ndio maana DATA NYINGI Tanzania ni za Kupika tu.
Katika MAZINGIRA Kama hyo huwezi kuapata ufanisi.
Zamani pale taratibu za utumishi zilipokuwa zinafuatwa ili mtu ateuliwe katika nafasi ya uongozi kama DED, DAS, DC, Director/Commissioner wizarani ilikuwa lazima awe mtumishi wa umma aliyefikia cheo cha Principal II au I katika kada yake, maana yake atakuwa na uzoefu wa utumishi usiopungua miaka 12; siku hizi vitoto vinaweza kuwa hata mwaka wa tatu chuo au mtu toka mtaani wanateuliwa katika nafasi hizo, unakuta hata kuminiti faili hajui halafu akifika ofisini anakuwa ndiye mjuaji namba moja tena kwa mambo ambayo hayajui.Shida hawa viongozi wanatolewa mitaani ghafla wengi wao hawajui taratibu za kiutumishi.Wakiona viongozi wakubwa wamekuja nikuropoka tu ili waonekane mimi nashauri hawa ambao hawakuwahi kuwa watumishi wa umma kabla ya vyeo vyao vipya ndio wapewe mikataba na Watumishi waendelee kupimwa utendaji kazi kwa mfumo uliopo(OPRAS)