DC wa Iramba ajitumbua mwenyewe

Huyuu Mdada mzuriiii jichoooo iloo mashalahhh..ila Ukweli Ni kwamba Huyu Ni Wa enzi Wa Amina Chifupa kipindi Amina anachaguliwa vitu maarumu Na yeye alishinda akiongoza kwa kura Amina akimfuata kwa vijana....Unakumbuka siku moja nikiwa Na ndugu yangu mmoja kasigara...tukiwa Millenium Towers ya Makumbusho akutokea ATM za CRDB alisalimiana Na huyo ndugu yangu kati ya Maneno waliyoongea kidogo Na ambayoo siwezi kumsahau Ni pale alipoulizwa Mbona wewe sio Mtata muongeaji ili kujipatia Umaarufu kama Chifupa????akacheeeka Na kujibu:Siasa naijuaa Na wkt mwingine Ni mchezo mchafu akasema yeye anahakikisha anachangia kwa njia ya maandishi Na kamwe hawezi Fanya siasa ya sifa huku akijihatarishia Maisha yyake..cha msingi anapata manufaa anayoyapata Maisha yanasongaaa.. huyuu ndiye Lucy Mayenga with High profile!!!
 
Hahaha kifua cha mkwere? Fafanua kdg. Hivi kumbe alikua mbunge viti maalumu? Hivi unaweza kua mkuu was mkoa na mbunge pia. Maana yule gama aliyekua kilimanjaro alijiuzuru u RC ili kugombea ubunge
Dr Christina Ishengoma alikuwa mbunge wa viti maalu na RC,pia Lukuvi amewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma na baadae DSM wakati akiwa mbunge wa Ismani
 
As to Me naona huyu DC wala hakuwa na haja ya kusema hayo aloyasema kwasababu kwa kasi ya JPM sidhani kama angetosha..
Alichokifanya ni kujihami tu. Period!!!
 
 
Sio lazima kufanya kazi serikalini au kuzikimbilia pale zinapotokea.
Muda si mrefu utumishi wa umma utakuwa kama zamani,kwani
enzi ile kufanya kazi serikalini ilikuwa ni wito wenye mzigo mzito.

Hongera sana Mh.DC umekuwa muwazi,kwani si vyema kujipendekeza
ili eti uonekane unafanya kazi kumbe kuna vitu vingi vilivyokuwa
vinakwaza juhudi zako katika kutekeleza majukumu yako.
 
Mwaka huu hakuna kubebana vyeo 2 mtu mmoja! Wabunge wote wataukosa u DC: Kina Stella Manyanya na wengine walibebwa sana maana walikuwa wanavuta mishahara 2!

Na walishindwa kufanya kazi ya serikali kwani walikuwa wanakimbizana na posho za vikao vya kamati na mikutano ya Bunge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…