DC wa CCM amtapeli kimada wake mamilioni ya fedha

Kumchaya, Kapuya, ..................... the list continues...
 
Dk. Slaa: Tukishika dola tutaruhusu utengenezaji pombe ya gongo


Saturday, 14 December 2013 ·


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini alisema kama gongo itatengenezwa kwa mitambo maalum itaondoa mianya ya rushwa kwa polisi ambao wamekuwa wakiwakamata wanaotengeneza kwa kificho na kuwafanya vitega uchumi vyao.


"Gongo sasa hivi ni haramu sababu inatengenezwa kwa kificho katika mazingira machafu, tukishika dola tutataka SIDO itengeneze mitambo ya kutengeneza gongo ili iwe katika hali ya usafi," alisema.


Mitambo hiyo itakayotengenezwa na SIDO itakapouzwa itaiingizia mapato serikali pia wauzaji wa gongo watafanya biashara hiyo kwa amani tofauti na sasa ambapo wanaifanya kwa kificho na wakikamatwa fedha zote wananufaika polisi.


Dk. Slaa alisema hata suala la kukamata watu wanaotengeneza silaha linapaswa kuangaliwa upya kwani wanaokamatwa wakifanya kazi hiyo wangekuwa wanashikiliwa kwa muda na baadaye wanapelekwa katika kiwanda cha serikali cha kutengenezea silaha ili watuhumiwa hao wapeleke ujuzi huo huko badala ya kuwafunga jela.


Dk. Slaa alisema matatizo yote yanatokana na wasomi kutofikiri namna ya kuisogea nchi mbele kimaendeleo.


"Nchi hii imelala, imechoka sababu waliopewa madaraka wamelala, wamejisahau hawatambui kuwa wamepewa nafasi hizo ili kuwatumikia wananchi," alisema.
CHANZO: NIPASHE
 
Mleta mada amevurugwa kweli kweli. Naamini amekunywa gongo asbh ndio imemfikisha hapo.

ccm haina mkuu wa wilaya.

Bila shaka wewe ndiwe Kumchaya... kwa jinsi povu linavyokutoka..
 
Mapenzi yakikolea, mtu akijamba ataambiwa poke baby,hujaumia kweli?!?! Wakati wanakopeshana ilikuwa siri, katapeliwa anakuja kutulilia.
 
Mleta mada amevurugwa kweli kweli. Naamini amekunywa gongo asbh ndio imemfikisha hapo.

ccm haina mkuu wa wilaya.

Acha kupotosha umma . Ukweli ni kwamba wakuu wa wilaya wanateuliwa kwenye nafasi zao na mwenyekiti wa ccm taifa.
Pili ambalo ndio tatizo kubwa sana wakuu wa wilaya kwa nafasi yake ya udc ni mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm wilaya.
Utasemaje mtu huyo sio wa ccm?
 
Kumbe ni kimada! Amepata ujira sawasawa na ujinga wake.
 

huko kwenu si wazinzi? si ajabu una comment huku umekamatia mbuda acheni mambo binafsi ya watu
 
Kumchaya kamroga huyu betty mpaka akawa anatoa mamilion,dawa imeisha ndio betty kastuka,hivi sinza kupanga nyumba nzima kodi kwa mwaka sh. 3.6m? Au ni sinza ile ya Tandale/Manzese?

Inategemeana na nyumba na nyumba, hiyo ya 3.6 maana yake ni kwamba kwa mwezi analipa shilingi laki 3 kwa hiyo si haba hata kidogo nyumba za namna hiyo zipo tena ni standard ingawa inakuwa na vyumba havizidi viwili,jiko,sitting na dining
 
Mleta mada amevurugwa kweli kweli. Naamini amekunywa gongo asbh ndio imemfikisha hapo.

ccm haina mkuu wa wilaya.

any fool can know, the point is to understand! Mi naona aliyevurugwa hapa ni wewe, hujaelewa nini sasa au tu ndio kutaka uonekane umetupia? Hujui mshutumiwa ni DC? Au hujaelewa kama ni mwanachama wa CCM? Hii Home of Great Thinkers bwana sio kila kitu kiandikwe kama tupo std 1. What will remain for u to think?
 

power of love kaka!
Kafanya yoote In the name of Love.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…