DC Simanjiro arejeshwa JWTZ

DC Simanjiro arejeshwa JWTZ

Maandalizi ya mwisho mwisho kulitandika lile dikteta la ukanda wa maziwa makuu ndio yanakamilika hivyo. Connect dots na hotuba ya Rais kwa Taifa leo kuhusu kauli za dikteta dhidi ya Tanzania na Rais wetu.
Wewe una akili nyingi kutambua kuwa JK hapuuzii masuala ya PK na jeshi ndio linajipanga ndio mana majembe yanarudi jikoni na jamaa ni jembe kwelikweli ila gazeti limekosea cheo chake sio hicho cha Brig Gen wasahihishe.
 
Mdau, ni kwamba wakati Mjeshi huyu anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya alikuwa na cheo cha Kanali.Sasa baada ya kupandishwa ngazi kufikia cheo cha Brigedia imeonekana hastahili tena kuendelea na wadhifa wa Ukuu wa Wilaya.


Asante mkuu kwa ufafanuzi manake ukuu wa wilaya ni vyeo vya akina Makunga na wengine wa design hiyo; hata Kanali ni fedheha kuwa mkuu wa wilaya ambao by virtue of their titles automatically wanakuwa walezi wa Green Guards! Kanali mwenye uwezo wa kuongoza battalion uwanja wa mapambano anakuja kuapisha Green Guards? Teh teh teh! Kweli CCM wanajua kuzalilisha!

On the other hand; hivi kumbe wanajeshi wanapanda vyeo hata kama kwa wakati huo hawafanyi kazi za jeshi? Naomba ufafanuzi.
 
BRIGEDIA JENERALI na Betty Mkwasa au Nape wote kuwa DC?Haiingii akilini!Wanajeshi msikubali kutumika kisiasa
 
BRIGEDIA JENERALI na Betty Mkwasa au Nape wote kuwa DC?Haiingii akilini!Wanajeshi msikubali kutumika kisiasa
 
Halafu mtu mwenye cheo cha Brigedia na ukuu wa wilaya wapi na wapi? Hizi njaa hakika ni majanga.

Unashangaa hilo Dr. Michael Kadeghe mkuu wa Wilaya ya Mbozi ni Dr. wa shule na lecturer pale UDISM lkn njaa imempeleka kuwa mkuu wa wilaya. Ukiwa CCM akili unaziacha chooni unabaki na ma------ tuu
 
nimeshangaa sana kumuona Dr. Michael Kadeghe mhadhiri mwandamizi UDISM kukubali uteuzi wa kuwa mkuu wa wilaya ya mbozi aibu sana. Ukiwa CCM common sense unaiacha chooni unarudi na ma------ tu.
 
Mkuu wa wilaya Simanjiro Brigedia Jenerali Cosmas Kayombo amerudishwa makao makuu ya Jeshi la Wananchi kuendelea na kazi yake na kuiacha nafasi hiyo ya mkuu wa Wawilaya.

Maswali najiuliza..
Alipokuwa mkuu wa wilaya alikua anaingia katika vikao vya CCM kwa nafasi yake,sijui na kadi alishapewa,wanajeshi na maaskari awaruhisiwi kuwa wanachama, sasa itakuaje kwa huyu bwana katika utendaji wake?

Chanzo: gazeti la mwananchi la agosti 2

CC Ritz,H-D na wote CCM wenzangu.

Mimi ni mwanachama wa CCM ila Tanzania kwanza vyama baadae.

"Vox populi,Vox dei"
Yaweza kuwa kazi ya mweshimiwa Lisu.maana amepiga kelele sana juu ya kuwa na makada wanajeshi.
 
Unashangaa hilo Dr. Michael Kadeghe mkuu wa Wilaya ya Mbozi ni Dr. wa shule na lecturer pale UDISM lkn njaa imempeleka kuwa mkuu wa wilaya. Ukiwa CCM akili unaziacha chooni unabaki na ma------ tuu

Sizitaki hizi mbichi,mtanzania gani ambaya anaweza kujitapa hana njaa ? Wewe unatamka hivyo kwa kuwa hauwezi kupata hiyo fursa,kama ungepata wala usingesema,inawezekana wewe una njaa na ni majanga kuliko hata hao unaowashambulia huo ni wivu wa kike
 
Yaweza kuwa kazi ya mweshimiwa Lisu.maana amepiga kelele sana juu ya kuwa na makada wanajeshi.

Rudi katika historia ndugu yangu mbona kitu kama hicho kilishatokea na ndomba akiwa kanali hata lissu hajazungumza ni utaratibu wa kawaida,huyo bwana alikuwa hajastaafu jeshini
 
Back
Top Bottom