DC Simalenga atangaza msako kwa wafuga fisi

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,576
Reaction score
2,500
Wakuu wenye uzoefu hivi ukifuga fisi unakuwa unamfanyia nini? Yani anakuwa kama mbwa au?

===
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga, ametangaza msako mkali wa fisi baada ya tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa kondoo 21 katika Mtaa wa Mahina. Amesema uchunguzi unaendelea kubaini kama kweli fisi ndio wahusika wa tukio hilo.

Simalenga ameagiza kufanyika kwa operesheni katika maeneo yote yenye vichaka ndani ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi kutokana na taarifa za kuonekana kwa wanyama hao.

"Tutafanya msako kwenye maeneo yote, maana tumeanza kusikia na kuona uwepo wa hawa wanyama," alisema Simalenga.

Aidha, amewatahadharisha wananchi wanaodaiwa kufuga fisi kuacha mara moja, kwani msako huo utawahusisha pia wale wote wanaomiliki wanyama hao kinyume cha sheria.
 
Eeeeee fisi anafugwa kwa matumizi yapi
Ulinzi au kuna mengine
 
Fisi kwetu kanda ya ziwa na vitongoji vyake ni dili usafiri pendwa unaotumiwa usiku wa manane kwa ajili ya ulozi do ni ngumu kumaliza hilo tatizo
 
🤣🤣🤣Fisi alivyo mfupi mnampanda vipi
kwa ukanda huo fisi anatumika vibaya mno usishangae kupanda fisi

Kuna jamaa yangu mmoja aliopoa demu kipindi nipo bariadi alikuwa kila akikutana naye alikuwa anapenda kuliwa kizani nara utakuta kwenye kaopori usiku au akienda geto kabla hajamaliza kuvua nguo kazima taa

Jamaa kila akija kunisimulia alivopiga shoo anaanza na kunambia kwamba ile kuzima taa mzee nikaanza mizagamuo ssa mie nikamtania demu gani huyo hazagamuliwi bila kuzima taa unawezaje kusifia uumbaji wa mungu na wakati hata trako lenyewe unaona kiza

Kumbe jamaa lile neno alilizingatia siku mkeka ukatiki tena demu akakutana naye geto kama kawaida kabla hajamaliza kutoa nguo demu kaebda kuzima taa jamaa alimwambia aache taa iwake lakini sababu zikawa ni nyng akzima taa akaanza shoo piga piga akasema leo nataka nione yaliyomo yamo akavuta simu yake akawasha tochi alichokiona mpaka leo haamini kumbe yule demu alikuwa na maumbile ya fisi dunia ni ya ajabu kila mtu na sayansi yake
 
🤣🤣 ALIBAKI SALAMA KWELI BAADA YA
YA KUMGUNDUA
ILIMCHUKUA MUDA GANI KUANZISHA MAHUSIANO MENGINE
MAANA ITAKUWA ILIMUATHIRI KISAIKOLOJIA NA HOFU
 
Hakudhurika baada ya kufatilia ni michezo yao watoto wa kisukuma anakufanyia hivyo ili unogewe ajipatie pesa za bure we unjua unpga shoo kumbe mwebzio yupo nyumbn anapika amekuacha wwe unahabgaika na fisi

Ilimchukua muda ila yupo mpaka leo nikimkumbushia anafurahi mno
 
🤣🤣🤣😅 pole yake hayo ni matokeo ya tamaa unajigi na fisi bila matarajio
Hivi sikuzote hakuhisi anachokipakata kinamanyoya
 
Back
Top Bottom