DC Same: Moto bweni la shule ya Sekondari Makanya ni hujuma

DC Same: Moto bweni la shule ya Sekondari Makanya ni hujuma

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,125
Reaction score
7,185
Tukio la moto lililochoma bweni la shule ya Sekondari Makanya wilayani Same mkoani Kilimanjaro limeibua maswali kuhusu usalama wa miundombinu ya shule na uwezekano wa hujuma.

Wakati wanafunzi 14 wakipata mshtuko na mali yenye thamani ya zaidi ya milioni tano ikiteketea, Serikali na wadau wa maendeleo wamejitokeza kusaidia kurejesha tabasamu kwa wanafunzi 22 waliofikwa na janga hili.

 
Sawaa na waliofanya hujuma tayar wapo ndan au wapo wanasubiriwa waendelee kufanya ujumaa sehemu nyinginee mkuu
 
Back
Top Bottom