DC Rorya awasweka walimu mahabusu wiki moja bila dhamana

Ili uwe mwalimu lazima uwe umefeli masomo darasani. Sasa nashauri walimu wasilipwe mishahara na wawe wanachapwa na madiwani au watendaji wa vijiji
Kama aliekufundisha alifeli basis na wewe umefeli,Hugo unaesema alifeli ndo anakufanya unaandika hapa,humpi hats ahsante?
 
Mwenye uzi tafadhali angalia tarehe, vingenevyo uzi huu unakosa uhalali kwani inaonekana tarehe 22.8.2019.ambayo bado hatujaifikia.
Mm nimeona na ndio maana nikakaa kimya,yaani mtu anaandika uzi hadi anajisahau trh hatari sana.
 
Yaani katika kundi muhimu zaidi katika maendeleo ya taifa hili naeza sema walimu ni wa kwanza
Lakini sijui kundi hili muhimu wapi linakwama, kila chaguzi ni watu wakuhongwa na kutupwa jalalani yaani wamekua hawana msimamo maalum wapo wapo tuu..
Sijui nj uongozi wa CWT au ni nini?? Yaani wao wameshakua ni shamba la bibi la CCM...

Waalimu mnakwama wapi jaman!!
 
Mahakama sio mama yako Ikupe chakula pale wanapohisi una njaa, kama haki ya dhamana imekiukwa inabidi kesi ifunguliwe yakudemand polisi wawapeleke mahakamani ASAP!

Habeas corpus - Habeas corpus (/ˈheɪbiəs ˈkɔːrpəs/ ; Medieval Latin meaning "[we, a Court, command] that you have the body [of the detainee brought before us]")[1] is a recourse in law through which a person can report an unlawful detention or imprisonment to a court and request that the court order the custodian of the person, usually a prison official, to bring the prisoner to court, to determine whether the detention is lawful
Bado haujajibu swali,kabla ya kwenda mahakamani kudai hiyo dhamana,nimekuuliza huyo mbumbumbu wa fikra,na mlevi wa madaraka,ana hayo mamlaka ya kuweka watu "lock up" kwa wiki nzima???

Na sababu zilizofanya awaweke hao walimu mahabusu kwa kipindi hicho chote ni sahihi?
 
Ni kazi ya mahakama kujua kama wapo sero kihalali au la........
 
Walimu wawili wa Shule ya Sekondari Musa Akasha iliyoko wilayani Rorya Mkoa wa Mara wamesota mahabusu kwa wiki moja bila dhamana kwa amri ya Mkuu wa Wilaya kwa kosa la kuadhibu mwanafunzi ambaye alifika shukeni akiwa amevalia viatu vya plastiki ambavyo si sare ya shule.

Walimu hao walikamatwa tangu alhamisi tarehe 22/08/2019,wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Tarime jana na kuachiwa kwa dhamana baada ya kudhaminiwa na viongozi wa CWT Rorya.

Taarifa zinadokeza kuwa DC Chacha alitoa onyo kali kwa Mwalimu yeyote atakayekwenda kuwajulia hali wenzie huko mahabusu na hata kuwawekea dhamana ndo Chama Cha Walimu CWT kilijitosa kuwadhamini mahakamani.

My take..

Inawezekana walimu Hawa wamefanya kosa kweli maana Ni taarifa ya upande mmoja pekee ndo tunayo

Sijui ni kwa nini vyombo vya habari Rorya vimekaa kimya juu ya kadhia hii.Walimu wa nchi hii wamegeuka kuwa ngazi kwa watawala uchwara kutafuta umaarufu na hatimaye kupanda vyeo.

Huu ni mwendelezo wa manyanyaso ya watawala dhidi ya walimu wa nchi hii.Sijui ni lini haya yatakuwa na mwisho? Ikumbukwe tu kwamba mwalimu huyu anayetendewa haya ameelemewa na changamoto lukuki ambazo zinaathiri utendaji wake wa kazi.

Walimu wanafanya kazi katika mazingira magumu,hawana nyongera ya mshahara kwa miaka kadhaa sasa,hawalipwi madeni yao lakini kwa watawala wetu njia pekee ya kuwafariji na kuwatia moyo walimu ni kuwasweka mahabusu na kuwanyima dhamana.

Tatizo la yote haya ni sababu tunatawaliwa na viongozi ambao hawana hofu ya Mungu ndani yao.Kwao vyeo ni Mungu,hawaoni shida kukuumiza ilimradi tu waifurahishe mamlaka ya uteuzi ili wafikiriwe kwa nafasi za juu zaidi.

Poleni Walimu wa Musa Akasha.Lakini pia hovyo kabisa Mkuu wa Shule hiyo uliyeogopa hata kwenda kuwajulia hali walimu wako wakiwa mahabusu kwa siku zote hizo.

Wanajukwaa Je hii Ni kweli? Je Ni kweli DC mamlaka ya kutoa amri ya kumuweka mtu rumande kwa wiki nzima bila kumpeleka mahakamani?
TSC wapo Kama walimu wanamakosa, pia mahakama. DC me!!!!!!!!!!!
 
Acha wakome walimu tz ni vigeugeu acha wanyooshwe tu, wakae hata mwenzi labda watapata akili
 
Huko Rorya tarehe 22 ishafika? Time zone yao inakimbia japo napo ni Tanzania
 
Au waligoma kuorodhesha majina yao ili kushiriki wizi wa kura ?
 
Labda alimaanisha Alhamis tarehe 15
Mwenye uzi tafadhali angalia tarehe, vingenevyo uzi huu unakosa uhalali kwani inaonekana tarehe 22.8.2019.ambayo bado hatujaifikia.
 
Mimi nadhani mpaka DC anaingilia, na kwa kuwa umesema umepata maelezo ya upande mmoja tu, basi kunaweza kuwa na assumptions nyingi;

Kwa mfano:

1. Inawezekana hiyo adhabu ilikuwa kubwa kiasi ambacho hailingani na kosa hata kumletea madhara ya kimwili mwanafunzi huyo

2. Kuna muongozo wa utoaji adhabu kwa wanafunzi na hivyo walimu hao hawakufuata mwongozo huo

Mathalani mwongozo unasema;

✓• Mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya kuchapa viboko mwanafunzi ktk shule yoyote ni Mwalimu mkuu au Mkuu wa shule pekee.....

Ama la, basi atoe (akasimu) mamlaka hayo kwa mwalimu mwingine yeyote kwa maandishi, kwamba ameruhusu adhabu itolewe......

✓• Wavulana wachapwe viboko hivyo matakoni na wasichana mikononi.

✓• Wanafunzi wa kike sharti waadhibiwe (wachapwe) na mwalimu wa kike na vivyo hivyo wa kiume na mwalimu wa kiume

✓• Maximum ya idadi ya viboko kwa kila kosa ni sita (6) kwa siku. Ukichapa zaidi ya hapo unakuwa unavunja sheria. Kama mwanafunzi imepitishwa kuwa achapwe viboko 12, maana yake atachapwa 6 leo na kesho amalizie vile vingine 6

✓• Lazima kabla ya kutolewa adhabu hiyo ithibitike kuwa kosa hilo linastahili adhabu hiyo na njia zingine zozote zimeshindikana kutumika kurekebisha tabia ya mtoto huyo.....

Kwa lugha rahisi ni kuwa FIMBO iwe ni the highest resolution of solving the problem kabla ya final resolution ambayo ni kumwondoa mwanafunzi shuleni kwa muda (temprarily suspension) au kumfuta shule moja kwa moja (expulsion)....

✓• Mwisho, sheria ya CORPORAL PUNISHMENT inataka adhabu hiyo iwe recorded kwenye kitabu cha kumbukumbu ya adhabu (Black book) na ielezwe wazi aina ya kosa lililotendwa na mtoto, aina ya adhabu aliyopewa, jina la mwalimu aliyetoa adhabu, sahihi yake na sahihi na jina la mwanafunzi aliyepokea adhabu hiyo

3. Ni bahati mbaya kuwa wengi wa walimu wa siku hizi wakiwemo hata walimu viongozi wa shule nyingi za sasa ama hawajui haya na hivyo kujikuta wanaendesha shule kwa desturi na utamaduni wa mapokeo tu bila kuzingatia taratibu, kanuni na sheria.....

Hii imeleta shida sana kwenye nyingi ya shule hususani za umma na hivyo kuonekana shule sasa ni kama uwanja wa mapambano kati ya walimu na wanafunzi wao....

Hili linathibitishwa kesi mbili za juzi kati hapa ambapo mkuu wa shule moja alimwadhibu mwanafunzi kwa fimbo zisizo na idadi...

Hata baada ya kuwa amechapa vya kutosha, hakuridhika bado, akamfungia mwanafunzi ndani ya kasiki (strong room)
na mwanafunzi huyo kukosa hewa na baadaye kufariki dunia....!!

Kesi ya pili ni ile ya walimu wawili wa kiume kumshambulia mwanafunzi wao kwa fimbo na mateke kwa tuhuma kuwa aliiba pochi ya mwalimu mwenzao wa kike ambaye ilikuja kuthibitika kuwa kumbe pochi hiyo ilikuwa mis-placed tu somewhere na mwalimu mwenyewe...

Matokeo yake ni kuwa walimjeruhi kijana huyo, akalazwa hospitali na badaye kama sijakosea alifariki dunia...!

KWA KESI HII TUNAYOJADILI HAPA, MAONI YANGU NI:

1. Kosa la kuvaa viatu visivyokuwa sare ya shule halikustahili kufikia hatua ya mwanafunzi kuadhibiwa kwa viboko....

Je, mwalimu/walimu husika walijaribu kufuatilia kujua ni kwanini mtoto huyo alikuja na viatu hivyo ambavyo siyo sare ya shule?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa mwanafunzi bali liko kwa mzazi/wazazi/walezi wake labda hawana fedha ya kununua kiatu kinachotakiwa ama matatizo tmengine ya kifamilia....

Kama ndivyo ilivyo hapo juu, hawa walimu wetu kabla ya kuanza kumshushia fimbo walimpa nafasi mtoto huyo kujirekebisha?

Waliwashirikisha wazazi/walezi wa mwanafunzi juu ya tatizo la mtoto la kutokuwa ktk proper school uniforms?

2. Kwa upande wa DC na kama tu ilivyoelezwa hapa ndivyo ilivyo kweli.....basi naye ana makosa tena makubwa sana!!

Binafsi naweza kusema kwa hakika kabisa kuwa hana BUSARA wala HEKIMA za kiuongozi..

Wote tunafahamu kuwa zipo mamlaka za kiutumishi kwenye kila kada ya utumishi....

Alipaswa kwa kuagiza kama walimu hao wamekiuka kanuni za kiutumishi kushughulikiwa kwa mujibu wa taratibu, kanuni na sheria za utumishi....

Hata kama ishu yao ilishakuwa na sura ya jinai, bado angechia mamlaka zinazohusika kuchunguza na kuchukua hatua...

DC kujigeuza kuwa yeye ndiye polisi na ni mahakama pia siyo sawa hata kidogo hata kama walimu hao wametenda kosa kwa mtazamo wake....!
 
Angewanari tu yakaisha kama yule Mnari alivyo wanari nshomile kule Bukoba, mwaka 2004 hizi. Walimu kama punda upendwa wakiwa na mzigo wa chumvi na kuuvusha kwenye maji, salama.
 
Hahahaaa wewe jamaa kiazi kweli,yaani kumbe hata sheria hujui halafu unatapika uharo wako hapa!

Sheria ya kuweka mtu "lock up" ipo wazi sana,(kasome) sio unatetea watu walizaliwa na nyuchi chafu,kiasi cha kutifua bongo zao!

Soma kwanza sheria then uje ku argue na mimi,mahakama unataka iseme kama ni halali au sio halali,maana yake ni kwamba kichwani kwako kwa swali hili kumejaa tope!
Ni kazi ya mahakama kujua kama wapo sero kihalali au la........
 
Matunda ya uteuzi bora wa Jiwe, hawa ndio amewateua akikesha kuwachambua na mafaili yao kitandani, aibu Kweli kwa mteua vilaza wa kutupa.
 
Hahahaaa wewe jamaa kiazi kweli,yaani kumbe hata sheria hujui halafu unatapika uharo wako hapa!

Sheria ya kuweka mtu "lock up" ipo wazi sana,(kasome) sio unatetea watu walizaliwa na nyuchi chafu,kiasi cha kutifua bongo zao!

Soma kwanza sheria then uje ku argue na mimi,mahakama unataka iseme kama ni halali au sio halali,maana yake ni kwamba kichwani kwako kwa swali hili kumejaa tope!
Sawa Sawa
 
Mimi nadhani mpaka DC anaingilia, na kwa kuwa umesema umepata maelezo ya upande mmoja tu, basi kunaweza kuwa na assumptions nyingi;

Kwa mfano:

1. Inawezekana hiyo adhabu ilikuwa kubwa kiasi ambacho hailingani na kosa hata kumletea madhara ya kimwili mwanafunzi huyo

2. Kuna muongozo wa utoaji adhabu kwa wanafunzi na hivyo walimu hao hawakufuata mwongozo huo

Mathalani mwongozo unasema;

✓• Mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya kuchapa viboko mwanafunzi ktk shule yoyote ni Mwalimu mkuu au Mkuu wa shule pekee.....

Ama la, basi atoe (akasimu) mamlaka hayo kwa mwalimu mwingine yeyote kwa maandishi, kwamba ameruhusu adhabu itolewe......

✓• Wavulana wachapwe viboko hivyo matakoni na wasichana mikononi.

✓• Wanafunzi wa kike sharti waadhibiwe (wachapwe) na mwalimu wa kike na vivyo hivyo wa kiume na mwalimu wa kiume

✓• Maximum ya idadi ya viboko kwa kila kosa ni sita (6) kwa siku. Ukichapa zaidi ya hapo unakuwa unavunja sheria. Kama mwanafunzi imepitishwa kuwa achapwe viboko 12, maana yake atachapwa 6 leo na kesho amalizie vile vingine 6

✓• Lazima kabla ya kutolewa adhabu hiyo ithibitike kuwa kosa hilo linastahili adhabu hiyo na njia zingine zozote zimeshindikana kutumika kurekebisha tabia ya mtoto huyo.....

Kwa lugha rahisi ni kuwa FIMBO iwe ni the highest resolution of solving the problem kabla ya final resolution ambayo ni kumwondoa mwanafunzi shuleni kwa muda (temprarily suspension) au kumfuta shule moja kwa moja (expulsion)....

✓• Mwisho, sheria ya CORPORAL PUNISHMENT inataka adhabu hiyo iwe recorded kwenye kitabu cha kumbukumbu ya adhabu (Black book) na ielezwe wazi aina ya kosa lililotendwa na mtoto, aina ya adhabu aliyopewa, jina la mwalimu aliyetoa adhabu, sahihi yake na sahihi na jina la mwanafunzi aliyepokea adhabu hiyo

3. Ni bahati mbaya kuwa wengi wa walimu wa siku hizi wakiwemo hata walimu viongozi wa shule nyingi za sasa ama hawajui haya na hivyo kujikuta wanaendesha shule kwa desturi na utamaduni wa mapokeo tu bila kuzingatia taratibu, kanuni na sheria.....

Hii imeleta shida sana kwenye nyingi ya shule hususani za umma na hivyo kuonekana shule sasa ni kama uwanja wa mapambano kati ya walimu na wanafunzi wao....

Hili linathibitishwa kesi mbili za juzi kati hapa ambapo mkuu wa shule moja alimwadhibu mwanafunzi kwa fimbo zisizo na idadi...

Hata baada ya kuwa amechapa vya kutosha, hakuridhika bado, akamfungia mwanafunzi ndani ya kasiki (strong room)
na mwanafunzi huyo kukosa hewa na baadaye kufariki dunia....!!

Kesi ya pili ni ile ya walimu wawili wa kiume kumshambulia mwanafunzi wao kwa fimbo na mateke kwa tuhuma kuwa aliiba pochi ya mwalimu mwenzao wa kike ambaye ilikuja kuthibitika kuwa kumbe pochi hiyo ilikuwa mis-placed tu somewhere na mwalimu mwenyewe...

Matokeo yake ni kuwa walimjeruhi kijana huyo, akalazwa hospitali na badaye kama sijakosea alifariki dunia...!

KWA KESI HII TUNAYOJADILI HAPA, MAONI YANGU NI:

1. Kosa la kuvaa viatu visivyokuwa sare ya shule halikustahili kufikia hatua ya mwanafunzi kuadhibiwa kwa viboko....

Je, mwalimu/walimu husika walijaribu kufuatilia kujua ni kwanini mtoto huyo alikuja na viatu hivyo ambavyo siyo sare ya shule?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa mwanafunzi bali liko kwa mzazi/wazazi/walezi wake labda hawana fedha ya kununua kiatu kinachotakiwa ama matatizo tmengine ya kifamilia....

Kama ndivyo ilivyo hapo juu, hawa walimu wetu kabla ya kuanza kumshushia fimbo walimpa nafasi mtoto huyo kujirekebisha?

Waliwashirikisha wazazi/walezi wa mwanafunzi juu ya tatizo la mtoto la kutokuwa ktk proper school uniforms?

2. Kwa upande wa DC na kama tu ilivyoelezwa hapa ndivyo ilivyo kweli.....basi naye ana makosa tena makubwa sana!!

Binafsi naweza kusema kwa hakika kabisa kuwa hana BUSARA wala HEKIMA za kiuongozi..

Wote tunafahamu kuwa zipo mamlaka za kiutumishi kwenye kila kada ya utumishi....

Alipaswa kwa kuagiza kama walimu hao wamekiuka kanuni za kiutumishi kushughulikiwa kwa mujibu wa taratibu, kanuni na sheria za utumishi....

Hata kama ishu yao ilishakuwa na sura ya jinai, bado angechia mamlaka zinazohusika kuchunguza na kuchukua hatua...

DC kujigeuza kuwa yeye ndiye polisi na ni mahakama pia siyo sawa hata kidogo hata kama walimu hao wametenda kosa kwa mtazamo wake....!
Umefafanua vizuri kabisa bila kuendelea upande wowote.
 
Umefafanua vizuri kabisa bila kupendelea upande wowote.
 
Back
Top Bottom