DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli

DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli

Asubiri tu nae akaangwe kwa mafuta yake. Viongozi wanapokuwa kwenye nyadhifa huwa wanajisahau kuna maisha baada ya uongozi sasa asubiri nae mambo yamrudie
Labda mama atamuwekea mgongo
 
Huyu atumbuliwe ili arudi uraiani avune alichopanda, aone maisha yanavyokwenda kwa kasi bila cheo. Raia wanavyo msubiri kwa hamu mtaani hata kabla Magufuli hajazikwa, wanaona Mama Samia anawachelewesha sana.
Hata Makonda mlisema mnamsubiri uraiani lakini huyo hapo hamumfanyi chochote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom