DC Muro unatakiwa sasa ukamuombe msamaha Mkurugenzi mpya wa tume ya taifa ya uchaguzi Dr. Mahera

Kwahiyo unataka kutusadikisha kuwa kuwafokea watu walioko chini yako kwenye mamlaka ni kosa kwakuwa tu ipo siku wanaweza kukuzidi madaraka...!
Ni ukosefu wa akili na upumbafu uliopitiliza kufokea fokea watu hata kama umewazidi cheo..
 
Back
Top Bottom