DC Muro unatakiwa sasa ukamuombe msamaha Mkurugenzi mpya wa tume ya taifa ya uchaguzi Dr. Mahera

Kumbe na wewe ni wale wale wavunja heshima
Hakujua kama Dk ni Tiss,s mbobezi!

Mahera ni kichwa na hutegemewa sana na wanakitengo kwa mambo mengi sasa huyo dogo japo mimi ni mwenzangu lakini wakati ule alifanya ujinga!
 
DC wala hawajibiki kwa Mkurugenzi wa NEC kwa vyovyote vile.

Kwa hiyo Mahera kuwa boss mkubwa haiwezi kuwa Muro's fvcking business.
 
Hao vijana wa magufuli hakuna mwenye busara wao kila kitu ni kutumia nguvu bila hata ya kuangalia umri wa mtu sasa hayo ndiyo matokeo yake
Bahati nzuri kila ujinga waufanyao boss wao anaufurahia, aliwaambia Dk Shoo (mkuu wa kkkt) kwamba nyinyi viongozi wa sasa hasa vijana muache kujitutumua kama chatu, (hapo pembeni alikuwepo kigwangala akiwa amejivimbisha kama kifutu)
 
Yes, halafu Jerry anataka kugombea ubunge,patamu hapo
Jerry hata akigombea huyo hawezi kufanya kitu. Si unajua Jerry kama ni kuminywa labda kwenye chama chake wakiacha kurudisha jina lake, lakini kama akipitishwa na chama chake, mwenye mamlaka ya "kumminya ma.pu.mbu" ni mkurugenzi wa halmashauri atakayogombea Jerry, mfano Arumeru au Tandahimba ndie msimamizi mkuu wa uchaguzi na ndie anayetangaza matokeo. Huyo wa Taifa ni ngazi ya juu sana, sana sana atamtangaza rais tu
 
Nakumbuka sana mkuu
Bahati nzuri kila ujinga waufanyao boss wao anaufurahia, aliwaambia Dk Shoo (mkuu wa kkkt) kwamba nyinyi viongozi wa sasa hasa vijana muache kujitutumua kama chatu, (hapo pembeni alikuwepo kigwangala akiwa amejivimbisha kama kifutu)
 
Hawajua kua wengi wa wateule wa Rais hasa wakurugenzi,Ras,na madas ni watu wa TISS
 
Jerry hata akigombea huyo hawezi kufanya kitu. Si unajua Jerry kama ni kuminywa labda kwenye chama chake wakiacha kurudisha jina lake, lakini kama akipitishwa na chama chake, mwenye mamlaka ya "kumminya ma.pu.mbu" ni mkurugenzi wa halmashauri atakayogombea Jerry, mfano Arumeru au Tandahimba ndie msimamizi mkuu wa uchaguzi na ndie anayetangaza matokeo. Huyo wa Taifa ni ngazi ya juu sana, sana sana atamtangaza rais tu
Nakwede, Hivi si wateuliwa wa rais (wakurugenzi) walipigwa marufuku na mahakama kusimamia chaguzi ??!! au mimi sikuelewa vema ??
 
Sikumbuki hata mie kama kweli hiyo kitu ilitolewa maamuzi. Ngoja nimuulize Mmawia labda yeye anajua
Mahakama ilishatoa maamuzi sema ni kwasababu serikali hii ya jiwe huwa inapuuza hata maamuzi ya mahakama kwa kisisngizio kwamba yenyewe ni muhimili uliojichimbia chini zaidi ya mihimili mingine hiyo miwili
 
Kwa kweli kwa siku ya leo nimefurahi sana kwa kitendo kilichofanywa na Rais Magufuli kwa kumteua Daktari Mahera kuwa mkurugenzi mpya wa tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Kama mtakavyokumbuka miaka ya hivi karibuni Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro alimfokea hadharani Dk. Mahera kisa kachelewa kwenye msafara wa Muro,cha kushangaza alifokewa mbele ya Mkuu wa Mkoa, kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na wilaya.

Licha ya Dk. Mahera kujitetea kuwa usafiri ulipata itilafu DC Muro aliendelea kumwambia kuwa Mkurugenzi usicheke acha dharau bila kujua kimaumbile ndivyo alivyouumbwa.

Kwa tukio la leo lililofanywa na Rais ni fundisho tosha kwetu wanasiasa na hata tusio wanasiasa .

Hivyo, DC Muro unapaswa uende ukamuombe msamaha Dr. Mahera kwani ni boss mkubwa sasa.
Msamaha nini? Acha vichekesho vyako
 
Back
Top Bottom