DC Muro matatani kwa deni la miaka mitatu

Yanga bwana hata uwape cheo kikubwa bado vitabia vyao vya kiyangayanga huwa haviishi.Morrison au Haji Manara watamlipia
 
pole mkuu wanasiasa hawaaminiki
 
Mwanasheria wa Halmashauri atamuwakilisha mahakamani
 
"Mara ya mwisho alilipa Tsh 500,000 tarehe 17/6/2020.

BAADA ya malipo hayo Muro aliendelea kusumbua deni hilo kwa MIAKA MIWILI mfururizo!!!"

Huo uandishi haupo sawa.

-Kaveli-
 
Kwani wakuu wa wilaya wanalipwa sh ngap jamani????? Au jamaa kaamua tu kukopaa
 
"Mara ya mwisho alilipa Tsh 500,000 tarehe 17/6/2020.

BAADA ya malipo hayo Muro aliendelea kusumbua deni hilo kwa MIAKA MIWILI mfururizo!!!"

Huo uandishi haupo sawa.

-Kaveli-
Upo sawa maana alikopa mwaka 2018 na toka siku amekopa alikuwa anasumbuaa kulipaaa...!! Utapeliii
 
Mahakama gani inapokea kesi za madai kidogo hivyo? Kama amepunguza mpaka ikafika hapo ilipo waendelee kushirikiana atalipwa tuu. Hata hivyo kumtangaza mdeni wako inaweza kusa sababu ya kutokulipwa kabisa na ikibidi ulipe na fidia
 
Hivi DC mzima unashindwaje kulipa kadeni ka milioni 4 kwa miaka 2? How? Halafu li TV la inchi 65 kwani hapo nyumbani kwake ana kibanda cha kuonyesha mechi za ligi mbalimbali??
 
Why wamelete kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi isiwe huko nyuma? Wanajua jery ni chuma muhimu linapokuja swala La ushindi wa ccm
Chuma my foot wakati hawezi kununua TV na home theater kwa cash?? Mtu kuwa chuma ni fwedhaaa full stop!!
 
Walishindwa kumsaidia marehemu Komba hadi akafa na hata kumuenzi washamsahau itakuwa huyo kibaka aliyeokotwa jalalani na magu?
Nakumbuka sana hii kitu, rip Komba...
 
ANA UHAKIKA GAN JANUARY ATAKUWA HAIII
AIHAKIKISHIE MAHAKAMA KWAHILO
KAZI YA MUNGU AICHAGUI BANA ALLAH
 
Andika vizuri wewe ulikuwa una haraka uwe wa kwanza kuripoti. Sh milioni 1,050,000 ni kitu gani?
 
Mahakama gani inapokea kesi za madai kidogo hivyo? Kama amepunguza mpaka ikafika hapo ilipo waendelee kushirikiana atalipwa tuu. Hata hivyo kumtangaza mdeni wako inaweza kusa sababu ya kutokulipwa kabisa na ikibidi ulipe na fidia
You must be very stupid, milioni moja ni pesa kidogo? Hivi unajua kwenye biashara hiyo TV na hiyo home theater pengine faida yake zote mbili ni sh laki tano??? Sasa kama hajalupa hilo deni it means siyo tu kwamba faida imeliwa but na mtaji wa hizo bidhaa imekata kwa laki 5? Halafu miaka 2 na bado unataka amdai kwa siri eti tuu kwa kuwa ni kada mwenzako!! Hebu acha kuwa mpumbavu pale mtu anapidai chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…