DC Muro asambaratisha baraza la madiwani wa Meru na Polisi

Hapo kwenye pistol na pingu ndicho ulichikuwa unataka kutujulisha! Pascal Mayalla bwana!
 
Duh yamefika huko?
 
Suala la amani,ulinzi na usalama ni suala la kuhakikisha linadumu kwa nchi. halmashauri hiyo si inaongozwa na CHADEMA? ni mkakati gani CHADEMA mmekuja nao kuleta fujo?
Kumuita mtu mpumbavu sio tusi ila kama ni tusi naomba uniwe radhi mkuu.
 
Kama mtu umevuliwa uanachama unapata wapi akili za kusema mie bado Diwani, vitu vingine vinatufanya baadhi yetu wenye ngozi nyeusi kufikiri labda mara nyingine wazungu hawakosei kutusema. Upumbavu wa hali ya juu.
 
Hivi alichoropoka vipi kwenye lile sakata la rushwa ya 10m?
Aliponyeshwa na hisia za RAIA wema kushupaa kwa kuhisi Muro anaonewa na majizi ya fedha za umma hivyo kasingiziwa.
Hawakumtambua kumbe yeye ni jambazi sugu kabisa na kutembea na pingu na bastola ilikuwa ndio mtaji wake kwa kukusanya mafao toka kwa watuhumiwa.
 
Mkuu huyo Pascal Mayalla uandishi wake ni wa dhihaka flani.
Kama anasifia kumbe anafikisha ujumbe wa kuponda.

Hujajiuliza tu kwanini kakumbushia habari za Jerry Muro kutembea na pingu na bastola?
 
kama unafunga vile kumbe ndo kwanza beki analimwa chenga
 
Hicho Ni kituko.hivi ingekuwa pale bungeni dodoma wabunge wakipishana kauli Rc anatuma kikosi kusambaratisha tungefika? Huyu DC hajielewi
 
 
Dramatic irony nimekuelewa P Mwl wangu wa literature nikiwa o level aliniambia ivyo
 
Wewe nawe umegeuka kasuku sasa. Kila kitu kusifia tu ili mradi pana interest na serikali. Penda sana lakini angalia na hoja ya kusifia.
 
Suala la amani,ulinzi na usalama ni suala la kuhakikisha linadumu kwa nchi. halmashauri hiyo si inaongozwa na CHADEMA? ni mkakati gani CHADEMA mmekuja nao kuleta fujo?
Huu ujinga wenu Wa kuivuruga amani kisha mjidai kuirejesha kwa mbwembwe na kamera nyingi IPO Sikh utabuma!
Jerry kaikuta arumeru ikiwa poa kabisa na inajiletea maendeleo yake ila baada ya ujio wake kila kitu kimekenda hovyo akidhani ataweza kuwageuza wanaarumeru kuirejea ccm!
Ajiandae tu kuiba kura na siyo vinginevyo!
 
huyu Jamaa wakati fulani unaweza muone huruma daaah njaaa njaa njaa nimekuita mara Tatu. ..aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…