DC MSTAAFU AFIA kwenye DALADALA !

DC MSTAAFU AFIA kwenye DALADALA !

Alhaj Mussa Samizi....alipokuwa mkuu wa wilaya ya Tabora Mjini mi nilikuwa Tabora school,ni moja kati ya wageni waalikwa siku ya Graduation yangu,na Mayor mmoja wa mda mreefu Tbr jina limenitoka...R.I.P ALHAJ MUSSA SAMIZI
 
anaitwa alhaji Musa Samizi , chanzo ni gazeti la nipashe la tarehe 13 nov 2013 , ukurasa wa 8 , Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili , AMINA .

Huyu alikuwa DC enzi za mwalimu madici wa siku hizi hawapandi daldala na hawaji kupanda tena kuwa DC au Mkurugenzi siku hizi andika YES
 
Kuna tatizo mkuu?!

Okay, Nafikiri BabaDesi kasaidia hapa kwani mimi nilifikiri kuwa wewe unasema marehemu alikuwa na tabia ya kuomba omba. Hivyo hakuna tatizo kama unaongelea mipasho ya mzee Makamba. Uwe na amani
 
anaitwa alhaji Musa Samizi , chanzo ni gazeti la nipashe la tarehe 13 nov 2013 , ukurasa wa 8 , Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili , AMINA .

RIP My BROTHER, ama kwel uhai wa mtu uko mikonon mwa mtu,niliishiwa nguvu baada ya kuambiwa kaka yako kafarik ghafla, nilala na usiku kukaa kumuwaza alichokuwa ameniahd na mimi nlichomuahd kama wk moja ilyopita, ni kwel nliumia ila siwez kushndana na Mungu kuhusu hlo,ulinipa support kwenye maisha yangu kiukwel, ntakukumbuka sana kaka yangu ALHAJ MUSA HILARY SAMIZ.
 
Huyu alikuwa DC enzi za mwalimu madici wa siku hizi hawapandi daldala na hawaji kupanda tena kuwa DC au Mkurugenzi siku hizi andika YES
siku zote wema na waadilifu huwa hawana maisha !
 
Back
Top Bottom