.... unaweza kutuma maswali na ushauri kupitia www.madamottotvshow.com f/book.madamottotvshow na twitter. madamottotvshowTunaomba mh DC utujibu ni kwanini barabara zetu watembea kwa miguu hatuna tena nafasi maana zimejaa parking,viti vya grocery au baa, wapandaji na.wauzaji maua wameotesha maua.yao, mama lishe,wauza maji karanga,parking za bodaboda na magari. Hivi usalama wa mwenda kwa miguu uko wapi haswa.
Tunapenda kujua.ni.kwa nini vibao vya matangazo madogo haswa na hata makubwa vinaruhusiwa kuwekwa bila usalama maana vinazuia mwendesha gari kuona haswa kwenye kona
Ni kwanini kinondoni kama wilaya na dsm kwa ujumla nafasi za makaburi nyingi zimetekwa na watu wengine. Hakuna nafasi maalum zenye utaratibu maalum wa kupumzisha.marehemu kwa staha maalum. Je huoni kwamba utaratibu ukiwekwa vizuri kuna.pesa nyingi.itaingia serikalini kwenye funeral services na mahali pa kuzikia. Sasa unakuta vishoka ndio wanavaa makoti kugawa eneo la kuzikia na kula pesq bila.hata kodi
Tatizo la takataka miferejini bado halijatatulika. Foleni zisizoepukika nini hitimisho lake
Thanks for the info mkuu!Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda atakuwa kwenye kipindi cha mada moto Channel ten live saa nne usiku na Albert Kilalah akiongelea mambo mbalimbali yanayohusu wilaya ya Kinondoni.