DC Makonda kwenye kipindi cha mboni show katoa ushuhuda wa familia iliyodhulumiwa kiwanja, mkasa huu umenitoa machozi, natamani ni pate hata mpesa ya makonda nimtumie pesa aipelekee hiyo familia.
DC Makonda anasema ukibabaishwa na mtumishi wa umma ametoa namba yake mpandie hewani. Amasema kuna majitu yamekaa ofisini bila wito wa utumishi wa umma anataka kula nayo sahani moja.
Anasema zitto ni mwalimu wa wapinzani na amewaasa wapinzani wamwige.
alipompiga ngwala mzee warioba hukutoka machozi ?DC Makonda kwenye kipindi cha mboni show katoa ushuhuda wa familia iliyodhulumiwa kiwanja, mkasa huu umenitoa machozi, natamani ni pate hata mpesa ya makonda nimtumie pesa aipelekee hiyo familia.
Mkuu weka basi kiduchu hicho kisa.
alipompiga ngwala mzee warioba hukutoka machozi ?