Ati huyu ndo akasuluhishe migogoro ya Ardhi Kindondoni!!!Kuuza Nyago ndo kunamfaa kama hivi
we unadhani ukiwa kiongozi ndo na interest zingine zinakufa!
we unadhani ukiwa kiongozi ndo na interest zingine zinakufa!
mmmh...inazuia kwenda kwenye kumbi za starehe...au miiko inasemaje!Issue sio interest kyfa mkuu ila upaswa ujue kiti anachokalia ni taasisi ambayo ina miiko na taratibu zake ambazo huwezi kuzitenga na personality yako.Kwenye hili inabidi interest ziwe aligned na hadhi/dhamani aliyopewa na mteuzi wake.
mmmh...inazuia kwenda kwenye kumbi za starehe...au miiko inasemaje!
Tukija kwenye siasa hapa ndipo unaona mtazamo wa cdm na hawa wenzao. Ni wazi hawa ni malimbukeni wa starehe lakini kwa hii picha unaweza kuelewa na kukubaliana na Sugu kushindwa kukaa na mzazi mwenzie, hatuwezi kumlaumu tena.