Mungu kama Hakimu alivyoona maswali ya wakili yalikuwa ya kipuuzi. Mleta mada badili Kicwa cha habari!Hayo Maswali yalikuwa magumu sana kwa level ya Makonda.
Maana hafaha hata sifa ya kuwa mkuu wa wilaya wala kazi yake ni kupiga picha kuweka instagram
SIJAONA MASWALI MAGUMU HAPO...?
HUYU MWANDISHI WA MWANAHALISI ASITUZINGUE!! HAKUNA MASWALI MAGUMU HAPO
PAUL Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, amebanwa kwa maswali kutoka kwa Wakili Peter Kibatara anayemtetea mteja wake Saed Kubenea. Anaandika Happyness Lidwino.
Makonda amebanwa kwa maswali na wakili huyo kutokana na ushahidi alioeleza mbele ya mahakama kuhusu kesi yake ya madai aliyoifungua tarehe 15 Desemba mwaka jana dhidi ya Kubenea ambaye ni Mbunge wa Ubungo.
Ikiwa ni siku ya Makonda kujitetea, Wakili Kibatara alimuhoji kwanini aliamua kupeleka kesi hii mahakamani?, Makonda alishindwa kujibu.
Baada ya Makonda kushindwa kujibu, hakimu anayesimamia kesi hiyo Thomas Simba alimweleza Wakili Kibatara aulize swali la pili.
Wakili Kibatara alimuuliza Makonda kwamba alichukua muda gani kwenda katika gari yake baada ya Kubenea kuanza kumtolewa lugha za matusi?
Makonda aliieleza mahakama kwamba, alitumia muda wa dakika 15, Wakili Kibarata alimuhoji kwamba, je katika dakika hizo hakujibu matusi kutoka kwa Kubenea?
Makonda alijibu kwamba, katika muda huo hakumjibu chochote Kubenea. Wakili Kibatara alihoji kwamba inawezekanaje katika dakika zote 15 Makonda asizungumze chochote.
Hata hivyo, hakimu alimtaka Wakili Kibatara kuuliza swali lingine ambapo aliuliza je polisi waliokuwa katika eneo la tukio walichukua hatua gani?
Makonda alisema, polisi walichukua hatua ya kumkamata Kubenea baada ya Kubenea kuendelea kutoalugha ya matusi.
Na hata alipoulizwa aliyetoa amri ya kumkamata Kubenea, Makonda alikana na kudai si yeye isipokuwa polisi ndio walimkamata.
Wakili Kibatara alimuuliza Makonda, “Je, unayajua majukumu ya Mbunge? Je ulijibizana na Kubenea eneo la tukio?
Je, unajua ni vigezo gani vilitumika kukuchagua kuwa Mkuu wa Wilaya? Je unafahamu maana ya neno mjinga na mpumbavu?
Maswali hayo ya mtego yalionekana kumpandisha hasira Makonda kutokana na majibu yake kuwa mafupi na kutomridhisha wakili.
Hata hivyo, hakimu aliingilia kati na kumtaka wakili kubadilisha namna ya kuuliza maswali hayo. Hata Wakili Kibatara baada ya kushauriwa na hakimu kubadilisha maswali, aliieleza mahakama kwamba amemaliza.
Makonda alifika mahakamani hapo leo kutoa ushahidi wake huku akifuatiwa na shaidi wake ambaye ni Askali Dc Gabriel mwenye namba F4829 kutoka katika Kituo cha Magomeni.
Makonda alifungua kesi hiyo tarehe 15 Desemba mwaka jana ikiwa ni siku moja baada ya Makonda kuagiza askari wa Jeshi la Polisi kumkamata mbunge huyo kwa madai ya kushindwa kutii agizo lake kama Mkuu wa Wilaya.
Tukio la kukamatwa Kubenea lilitekelezwa Tarehe 14 Desemba mwaka jana jijini Dar es Salaam, baada ya viongozi hao lo katika mgogoro wa oo l Kiwanda cha nguo cha Tookup Tanzania.
al
Kwenye mahakama amefungua ,ddhbhj Makonda madai matatu dhidi ya Rubens's ambayo amefungua ya amefungua ,bhhh kuitwa mpumbavu, mjinga amefungua pamoja na cheo cha kupewa.
Chanzo; Mwanahalisi online
Wamlete Tarime.Namuomba mhe magu ampeleke rolya
Daaaa,asante sana mkuu naona huko ndio kutamfaa zaidi na akitoka huko amenyookaWamlete Tarime.
Au ArumeruWamlete Tarime.
tueleze wewe ni i kimemsibu makonda sio unakuja na povu lako la OmO hapa.Mleta mada kaleta uzi huku tayari akiwa na upande anaoushabikia...hivyo kufunga uhuru wa wadau kutoa maoni yao hata kama walikuwapo mahakamani......hili suala lipo kitaaluma zaidi halipo kishabiki ingefaa wadau wenye taaluma ya sheria na kama walikuwapo mahakamani watupe muendelezo wa kesi inavyoenda na kwa usawa na kwa haki.....
Kwa namna yoyote ile matumizi ya lugha chafu si sehemu ya maisha ya waungwana hasa kwa mtu mwenye hadhi ya ubunge kama alivyo mbunge wangu kubenea......
Busara zaidi ingetumika badala ya jazba isingefikia huku.....
Huo muda mnaoupoteza mahakamani ni muda ambao mngepaswa kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo......kufanya hivyo ni kuwadhurumu wananchi muda wao wa kuwatumikia kama muwakilishi wao hivyo kuchelewesha mipango ya kimaendeleo uliyojiwekea kwa wapiga kura wako.....
Kila mmoja amemkosea mwenzake kwa namna moja au nyingine lakini matumizi ya jazba na ubabe ndio vinewafikisha hapo....wote wakiwa viongozi wanaowarumikia wananchi kwa namna moja au nyingine wangepaswa kulimaliza kiutu uzima ikizingatiwa kuwa kupishana kauli ni jambo la kawaida kwa wanaadamu wasio wakamilifu.......
Vile vile vijana wajifunze kutumia bongo zao vyema na sio kupelekwa pelekwa na upepo wa kisiasa kama bendera hata kushabikia mambo ya kipuuzi eti kwa kuwa ni mtu aliyepo upande wako wa kisiasa.....kwenye nyeusi isemwe ni nyeusi kwa kuwa inaonekana hata kwa macho kuwa ni nyeusi...nasisitiza tena matumizi ya lugha chafu dhidi ya mwenzio ni jambo baya na si la kiungwana....nina hakika hata wewe unayemshabikia Kubenea kwa kutoa lugha hiyo dhidi ya makonda( kama kweli aliitoa maana sikuwepo eneo la tukio) usingefurahia na ungeonesha kuchukuzwa na hilo........
MATUMIZI SAHIHI YA UBONGO WETU HUTUFANYA KUWA NA HEKIMA NA BUSARA....
Du Mwanahalisi?PAUL Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, amebanwa kwa maswali kutoka kwa Wakili Peter Kibatara anayemtetea mteja wake Saed Kubenea. Anaandika Happyness Lidwino.
Makonda amebanwa kwa maswali na wakili huyo kutokana na ushahidi alioeleza mbele ya mahakama kuhusu kesi yake ya madai aliyoifungua tarehe 15 Desemba mwaka jana dhidi ya Kubenea ambaye ni Mbunge wa Ubungo.
Ikiwa ni siku ya Makonda kujitetea, Wakili Kibatara alimuhoji kwanini aliamua kupeleka kesi hii mahakamani?, Makonda alishindwa kujibu.
Baada ya Makonda kushindwa kujibu, hakimu anayesimamia kesi hiyo Thomas Simba alimweleza Wakili Kibatara aulize swali la pili.
Wakili Kibatara alimuuliza Makonda kwamba alichukua muda gani kwenda katika gari yake baada ya Kubenea kuanza kumtolewa lugha za matusi?
Makonda aliieleza mahakama kwamba, alitumia muda wa dakika 15, Wakili Kibarata alimuhoji kwamba, je katika dakika hizo hakujibu matusi kutoka kwa Kubenea?
Makonda alijibu kwamba, katika muda huo hakumjibu chochote Kubenea. Wakili Kibatara alihoji kwamba inawezekanaje katika dakika zote 15 Makonda asizungumze chochote.
Hata hivyo, hakimu alimtaka Wakili Kibatara kuuliza swali lingine ambapo aliuliza je polisi waliokuwa katika eneo la tukio walichukua hatua gani?
Makonda alisema, polisi walichukua hatua ya kumkamata Kubenea baada ya Kubenea kuendelea kutoalugha ya matusi.
Na hata alipoulizwa aliyetoa amri ya kumkamata Kubenea, Makonda alikana na kudai si yeye isipokuwa polisi ndio walimkamata.
Wakili Kibatara alimuuliza Makonda, “Je, unayajua majukumu ya Mbunge? Je ulijibizana na Kubenea eneo la tukio?
Je, unajua ni vigezo gani vilitumika kukuchagua kuwa Mkuu wa Wilaya? Je unafahamu maana ya neno mjinga na mpumbavu?
Maswali hayo ya mtego yalionekana kumpandisha hasira Makonda kutokana na majibu yake kuwa mafupi na kutomridhisha wakili.
Hata hivyo, hakimu aliingilia kati na kumtaka wakili kubadilisha namna ya kuuliza maswali hayo. Hata Wakili Kibatara baada ya kushauriwa na hakimu kubadilisha maswali, aliieleza mahakama kwamba amemaliza.
Makonda alifika mahakamani hapo leo kutoa ushahidi wake huku akifuatiwa na shaidi wake ambaye ni Askali Dc Gabriel mwenye namba F4829 kutoka katika Kituo cha Magomeni.
Makonda alifungua kesi hiyo tarehe 15 Desemba mwaka jana ikiwa ni siku moja baada ya Makonda kuagiza askari wa Jeshi la Polisi kumkamata mbunge huyo kwa madai ya kushindwa kutii agizo lake kama Mkuu wa Wilaya.
Tukio la kukamatwa Kubenea lilitekelezwa Tarehe 14 Desemba mwaka jana jijini Dar es Salaam, baada ya viongozi hao kukutana katika mgogoro wa wafanyakazi wa Kiwanda cha nguo cha Tooku Tanzania.
Kwenye mahakama hiyo, Makonda amefungua madai matatu dhidi ya Kubenea ambayo ni lugha ya matusi, kuitwa mpumbavu, mjinga pamoja na cheo cha kupewa.
Chanzo; Mwanahalisi online
kuandika habari ki ujinga ujinga kiasi hiki ni kuishusha hadhi jf.. Habari imeandikwa utafikiri mwandishi hakuwa na ufahamu juu ya uandishi... Hakuna Swali gumu lolote kati ya Hayo yaliyoulizwa na Kibatala na kwa kuonyesha kwamba umekurupuka mpaka jina la wakili wenu hamjui linavyoandikwa.
Hapa kwa ajili ya kutukanana na kulumbana mku....hayo ni maoni yangu kama walivyochangia wadau wengine....tueleze wewe ni i kimemsibu makonda sio unakuja na povu lako la OmO hapa.
swissme
PAUL Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, amebanwa kwa maswali kutoka kwa Wakili Peter Kibatara anayemtetea mteja wake Saed Kubenea. Anaandika Happyness Lidwino.
Makonda amebanwa kwa maswali na wakili huyo kutokana na ushahidi alioeleza mbele ya mahakama kuhusu kesi yake ya madai aliyoifungua tarehe 15 Desemba mwaka jana dhidi ya Kubenea ambaye ni Mbunge wa Ubungo.
Ikiwa ni siku ya Makonda kujitetea, Wakili Kibatara alimuhoji kwanini aliamua kupeleka kesi hii mahakamani?, Makonda alishindwa kujibu.
Baada ya Makonda kushindwa kujibu, hakimu anayesimamia kesi hiyo Thomas Simba alimweleza Wakili Kibatara aulize swali la pili.
Wakili Kibatara alimuuliza Makonda kwamba alichukua muda gani kwenda katika gari yake baada ya Kubenea kuanza kumtolewa lugha za matusi?
Makonda aliieleza mahakama kwamba, alitumia muda wa dakika 15, Wakili Kibarata alimuhoji kwamba, je katika dakika hizo hakujibu matusi kutoka kwa Kubenea?
Makonda alijibu kwamba, katika muda huo hakumjibu chochote Kubenea. Wakili Kibatara alihoji kwamba inawezekanaje katika dakika zote 15 Makonda asizungumze chochote.
Hata hivyo, hakimu alimtaka Wakili Kibatara kuuliza swali lingine ambapo aliuliza je polisi waliokuwa katika eneo la tukio walichukua hatua gani?
Makonda alisema, polisi walichukua hatua ya kumkamata Kubenea baada ya Kubenea kuendelea kutoalugha ya matusi.
Na hata alipoulizwa aliyetoa amri ya kumkamata Kubenea, Makonda alikana na kudai si yeye isipokuwa polisi ndio walimkamata.
Wakili Kibatara alimuuliza Makonda, “Je, unayajua majukumu ya Mbunge? Je ulijibizana na Kubenea eneo la tukio?
Je, unajua ni vigezo gani vilitumika kukuchagua kuwa Mkuu wa Wilaya? Je unafahamu maana ya neno mjinga na mpumbavu?
Maswali hayo ya mtego yalionekana kumpandisha hasira Makonda kutokana na majibu yake kuwa mafupi na kutomridhisha wakili.
Hata hivyo, hakimu aliingilia kati na kumtaka wakili kubadilisha namna ya kuuliza maswali hayo. Hata Wakili Kibatara baada ya kushauriwa na hakimu kubadilisha maswali, aliieleza mahakama kwamba amemaliza.
Makonda alifika mahakamani hapo leo kutoa ushahidi wake huku akifuatiwa na shaidi wake ambaye ni Askali Dc Gabriel mwenye namba F4829 kutoka katika Kituo cha Magomeni.
Makonda alifungua kesi hiyo tarehe 15 Desemba mwaka jana ikiwa ni siku moja baada ya Makonda kuagiza askari wa Jeshi la Polisi kumkamata mbunge huyo kwa madai ya kushindwa kutii agizo lake kama Mkuu wa Wilaya.
Tukio la kukamatwa Kubenea lilitekelezwa Tarehe 14 Desemba mwaka jana jijini Dar es Salaam, baada ya viongozi hao kukutana katika mgogoro wa wafanyakazi wa Kiwanda cha nguo cha Tooku Tanzania.
Kwenye mahakama hiyo, Makonda amefungua madai matatu dhidi ya Kubenea ambayo ni lugha ya matusi, kuitwa mpumbavu, mjinga pamoja na cheo cha kupewa.
Chanzo; Mwanahalisi online
Yote aliyoyase
Kubenea hakukosea hata kidogo kumueleza ukweli huyo shoe shinner
PUMBABU KUMBE SIO GAZETI NI MWANAHALISI!!PAUL Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, amebanwa kwa maswali kutoka kwa Wakili Peter Kibatara anayemtetea mteja wake Saed Kubenea. Anaandika Happyness Lidwino.