Tetesi: DC Magoti kuhamishiwa Ngorongoro

Kasome mmiliki wa ardhi ya Tanzania ni nani? Wengine wote mnapangishwa (lease) kwa Miaka kadhaa, 33, 99.
Ardhi ni ya watanzania wote yule sio yake yeye ni msimamizi TU wa rasilimali ndio mnavyofundishana huo ujinga huko Shule ya Msingi kwamba Ardhi yooote ya Tanzania mmiliki ni yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…