PreGE2025 DC Magoti atamani Mwamposa akajenge Kanisa (nyumba ya ibada) Kisarawe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Peter Magoti, amempongeza Mtume Boniface Mwamposa kwa huduma yake ya kiroho na misaada anayoitoa kwa watu wenye mahitaji mbalimbali.

Magoti alisema kuwa Mtume Mwamposa amesaidia watu wengi wenye shida mbalimbali na kutokana na mchango wake mkubwa, alimwomba kuja Kisarawe kujenga nyumba ya ibada ili kusaidia waumini wa eneo hilo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesitiza kuwa uwepo wa nyumba ya ibada utaimarisha imani na kusaidia kuendeleza shughuli za kiroho kwa wakazi wa Kisarawe.

Ndio sehemu za waislam wengi wanapendekeza Rais anapoteua aangalia hili, akipeleka mkiristo wengine huumia wakiona misikiti na kuona bora na wao wawapeleke wachungaji wajenge makanisa
 
Kwanini asitaman Ajenge Hotel au Kiwanda ?
Unawajua Wazaramo wa Kisarawe?
Hata kulima wakati wa masika lazima migambo ipite mtaani kulazimisha watu waende shamba, sasa viwanda nani atafanya kazi?
Ukiwekeza Kisarawe ni kwa hasara yako
 
Hawa watu wa namna hii ndio hufanya taifa kurudi nyuma badala ya kusonga mbele.
 
nimemwelewa kisarawe kama kibiti vile ,na inaweza ikawa kibiti mpya ,mwamposa nenda kajenge
 
Unawajua Wazaramo wa Kisarawe?
Hata kulima wakati wa masika lazima migambo ipite mtaani kulazimisha watu waende shamba, sasa viwanda nani atafanya kazi?
Ukiwekeza Kisarawe ni kwa hasara yako
Chakula wanakuomba wewe?
 
Back
Top Bottom