Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,757
- 46,401
Hata mimi nimejiuliza hahahha huenda chinaHivi haya mashati yenye bendera yanapatikana wapi
Hata mimi nimejiuliza hahahha huenda chinaHivi haya mashati yenye bendera yanapatikana wapi
Yeye pia ni mmoja wapo wa wenye mamlaka.
Mkuu wa wlaya kweli unajua maana ya Saluti"
bora ungeenda hata JKT
huwezi kupokea Saluti ya heshima ukiwa umekaa
huwezi kupokea saluti hujavaa uniform za kijeshina hata ukivaa nguo za kijeshi si kwa kofia mlegezo hivyo
tuwaachie wenye mamlaka