DC Kisarawe aanzisha 'Operesheni Jokate' kuwaondoa wavamizi wa misitu

mbona amekaa kwa huruma hivyo au hana uhakika wa anachokwenda kufanya
 
img_20180807_193211_681-jpg.829652

Mkuu wa wlaya kweli unajua maana ya Saluti"
bora ungeenda hata JKT
huwezi kupokea Saluti ya heshima ukiwa umekaa
huwezi kupokea saluti hujavaa uniform za kijeshina hata ukivaa nguo za kijeshi si kwa kofia mlegezo hivyo
tuwaachie wenye mamlaka
Yeye pia ni mmoja wapo wa wenye mamlaka.
 
Back
Top Bottom