DC Kisarawe aanzisha 'Operesheni Jokate' kuwaondoa wavamizi wa misitu

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Mkuu wa wilaya ya kisarawe, Jokete Mwegelo akiwa katika gari la polisi kabla ya kuelekea kwenye operesheni ya kuwaondoa waliovamia misitu katika wilayani humo aliyoipa jina la 'Operesheni Jokate'.

IMG_20180807_190126_792.jpg
 
Operesheni hiyo imeanza leo agosti 7, 2018 kwenye msitu wa Ruvu Kusini ambapo walifanikiwa kuwakamata ng'ombe zaidi ya150 katika eneo hilo huku msako wa kuwasaka wamiliki ukiendelea.
IMG_20180807_193227_720.jpg
IMG_20180807_193211_681.jpg

Chanzo: Mwananchi
 
Mi ndo mana kazi ya uasikali nilikataaga' yaan maafande wameshikilia mitutu kukilinda kitoto kidogo hivi.
 
Haina haja ya kubeba askari wote hao. Akienda yeye mwenyewe kuwabembeleza wavamizi hakika wataondoka. Pata picha mvamizi unabembelezwa kwa sauti tamu kutoka kwa muheshimiwa mkuu wa wilaya bil a hiyana utabeba virago vyako na kuondoka.
 
Tumeruhusiwa kusambaza hii? Maana zile ambazo utamu upo nje nje tuliambiwa kwamba eti zinamdhalilisha mtukufu Rais
 
Teh naona kuwa mwanamke kuna faida yaani kisa hicho kutulilu alichokitoa sasa hivi anatoa maagizo tu
 
img_20180807_193211_681-jpg.829652

Mkuu wa wlaya kweli unajua maana ya Saluti"
bora ungeenda hata JKT
huwezi kupokea Saluti ya heshima ukiwa umekaa
huwezi kupokea saluti hujavaa uniform za kijeshina hata ukivaa nguo za kijeshi si kwa kofia mlegezo hivyo
tuwaachie wenye mamlaka
 
Back
Top Bottom