Wacha mnyoroke nyinyi watuhumiwa wa ufisadiHata Bokassa Idd Amin Saddam Hussein nao walikuwa watu muhimu katika utesaji na uuaji ndiko anakoelekea huyu wa kwetu. Anacho fanya sasa ni robo tu mpaka 2018 chini ya utawala huu nchi itakuwa Uganda ya Idd Amin
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Vyote sawaUsimchukie mtoto wa mwenzio, we huna mtoto? Muombee njaa sio kifo
HahahahahaUnaonekana huna huruma na halima. Mungu amchukue halima akapumzike peponi badala ya mahabusu.
Mimi siyo mtuhumiwa na wala sitakuwa mtuhumiwa wa ufisadi kwani hata Chiluba na Jameen walikuwa hivyo hivyo na mwisho wao tumeuona.Wacha mnyoroke nyinyi watuhumiwa wa ufisadi
Hata Bokassa Idd Amin Saddam Hussein nao walikuwa watu muhimu katika utesaji na uuaji ndiko anakoelekea huyu wa kwetu. Anacho fanya sasa ni robo tu mpaka 2018 chini ya utawala huu nchi itakuwa Uganda ya Idd Amin
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Taja tusi alilotukana Halima kwa Magufuli.Yaa kweliii. Ujasiri wa kutoa matusi kwa kiongozi wa nchi. Nimekuelewa
maigizo ya chadema ysnashinda ya ccm,mikataba ya madini msaini wenyewe tena mkiwa kwenye Baraza la mawaziri leo eti mnajida tumeibiwa sana,na hatuwaraki majizi,huu ni upuuzi mkubwa.nimecheka hapo taarifa iliposema kua ameanza kula,....chadema kwa maigizo; mi nilifikiri yuko 'serious' na suala la kutokula!
Hii ndo Africa nduguHuyu DC aburuzwe mahakamani haraka sana!! Tundu Lissu, Kibatala, Professor Safari unganeni katika hili! hawa wakutumwa wasiotumia ubongo watatumaliza! Ona sasa polisi wanatupiana mpira ovyo
Bado hujaacha unafiki wako?Usicheze na Rais hata simu moja. Yule ni kiongozi wa watu zaidi ya million 45. Ni MTU muhimu sana kuliko unavyofikiria. Ni amiri jeshi mkuu na wanaomshikilia kwa sasa ni jeshi. Hao wote uliowataja hawana cha kufanya.
Halima Mdee kututukana wote, mwache ashikishwe adabu.
Nimekuelewa hii ni serikali ya ki dikteta kwa hiyo mtu haruhusiwi kusema kweli na akisema kweli uwe wa kumfurahisha mkuu mkuu akikosea alikuwa ukweli ni matusi kila Lusinde akitukana ni mapambio. Hakuna mjadalaUlitaka akitukana aachiwe tu?
Lema katia adabu, yeye na mkewe hawajatuma tena SMS za Matusi. Na huyu atatia adabu tu.
Kuambiwa wewe, dada'ko, mama'ko, baba'ko na Watanzania wote mtavuliwa nguo, siyo matusi, tena ya nguoni?Nimekuelewa hii ni serikali ya ki dikteta kwa hiyo mtu haruhusiwi kusema kweli na akisema kweli uwe wa kumfurahisha mkuu mkuu akikosea alikuwa ukweli ni matusi kila Lusinde akitukana ni mapambio. Hakuna mjadala
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ukitugusa kwa maumivu tunakurudishia kwa maumivu zaidi...Bado hujaacha unafiki wako?
Kibongobongo watu wengi kuelewa somo hili kazi sana, Magufuli akifanya mchezo mmoja tu wa Pwagu na Pwaguzi watu wanazuzuka hawaelewi somo kwamba ni usanii mchafu tu.Kwani Halima Mdee alikuwa amepinda? Alikamatwa kwa ajili kumkomoa huu ulevi wa madaraka kwa wateule wa Raisi.
Hilo ndo tusi?. Mbona watz waliambiwa ni maLofa and nobody cares.Kuambiwa wewe, dada'ko, mama'ko, baba'ko na Watanzania wote mtavuliwa nguo, siyo matusi, tena ya nguoni?
Hilo ndo tusi?. Mbona watz waliambiwa ni maLofa and nobody cares.
Au kwa Ccm ni kawaida tu ila kwa alie na itikadi tofauti ndo matusi?
Siku wakikugeuka usisahau kutueleza, maana unafikir kwa kuwa umevaa green mahabusu hapakuhusu.nimecheka hapo taarifa iliposema kua ameanza kula,....chadema kwa maigizo; mi nilifikiri yuko 'serious' na suala la kutokula!