johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,972
- 141,984
agree 101%.Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini mh Kasesela amependekeza kuwa asilimia 10 ya michango ya harusi iwe inawekwa pembeni maalum kuwasaidia wasio na uwezo.
Kadhalika chakula kitakachobaki kwenye bufee kiwe kinapelekwa kwa watu wenye uhitaji kwani haipendezi kutupa chakula wakati wengine wana njaa.
DC Kasesela aliyasema hayo alipowatembelea watu wenye shida mbali mbali katika kitongoji cha Kihesa manispaa ya Iringa.
Source ITV
Usiwe mchoyo kamanda!Pendekezo limekataliwa
Kwahiyo DC atakuwa akipita kwenye harusi kukusanya makombo na kuwapa wasiojiweza! Dharau.Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini mh Kasesela amependekeza kuwa asilimia 10 ya michango ya harusi iwe inawekwa pembeni maalum kuwasaidia wasio na uwezo.
Kadhalika chakula kitakachobaki kwenye bufee kiwe kinapelekwa kwa watu wenye uhitaji kwani haipendezi kutupa chakula wakati wengine wana njaa.
DC Kasesela aliyasema hayo alipowatembelea watu wenye shida mbali mbali katika kitongoji cha Kihesa manispaa ya Iringa.
Source ITV
Anaweza kumuagiza mbunge asimamie hilo!Kwahiyo DC atakuwa akipita kwenye harusi kukusanya makombo na kuwapa wasiojiweza! Dharau.
Swala si usimamizi ila ni kwanini wasiojiweza walishwe makombo ya harusini? Kwanini asiwanunulie chakula kisafi?Anaweza kumuagiza mbunge asimamie hilo!
Utapiamlo wa uelewa umeikumba Lumumba hadi inachusha. DC anatoa wapi uwezo wa kumwamuru Mbunge? Au kuna Wabunge wasiojitambua kiasi cha kukubali kuamrishwa na Mkuu wa Wilaya?Anaweza kumuagiza mbunge asimamie hilo!
Anaweza kumuagiza mbunge asimamie hilo!
Hahahaa....... Mchungaji Msigwa atapata fursa ya kuhudhuria kila mnuso!Yaani amuagize Mchungaji Peter Msigwa asimamie hilo zoezi! Kasesela hana ubavu wa kumpelekesha mtu ambaye mkuu wake wa Mkoa mwenyewe anamgwaya! Kile kichwa kiko vizuri sana kwenye kujenga hoja. Na hilo wazo pia ni la hovyo tu.
Kwanini?!Aibu naona mimi...