DC Jerry Muro na mbio za mwenge Arumeru

Toa Control number utapata mchango vinginevyo - SAHAU.
 
Nimeisoma hiyo barua lakini sijaona mahali uliposhurutishwa kuchangia. Watanzania acheni kulia lia kwa vitu vidogo vidogo.
Kama wewe hutaki kuchangia una uhuru na haki ya kukataa na hakuna atakaye kulazimisha.
 
Hizi ni sababu ambazo zinakimbiza wawekezaji na wafanya biashara hapa nchini, na kuwachonganisha wafanyakazi na Serikali Yao, watu wametoka kupigwa makodi ya ajabu, korona imeharibi biashara, wafanyakazi hawajaongozewa mishara yeye anataka pesa, na Serikali wakati inaamua kukimbiza imeshatenga bajeti yake, kwani kama Serikali haina pesa wangeacha kama walivyofanya miaka mingine. Hatua za Haraka zichukiliwe kwa viongozi kama Hawa wanaichonganisha Serikali na Wananchi.
 
Huo mwenge wa uhuru ni nchi gani hiyo inayotafuta uhuru karne hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…