peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,638
- 27,450
Haya ni Yale Yale ya DC sabaya kule Hai, kilimanjaro. Serikali ikomesha biashara hii. Kama serikali haina uwezo wa kukimbiza mwenge, inakimbiza mwenge kwa gharama za wananchi basi ifike mahali isimamishe mbio za mwenge.Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.
Unaletewa barua ofisini kwako yenye muhuri na saini ya mkuu wa wilaya ili uchangie, ambapo ni kama ombi lakini kwa namna nyingine ni lazima.
Mama Samia ukiwa kama Rais wetu, wakati umefika wa kutafakari na kupiga marufuku mchezo huu, maana najua hata wilaya nyingine watakuwa wanashurutishwa hivihivi. Je hii mpaka lini? Mama tunaomba utoe nenoView attachment 1796599
Hai kilimanjaro, tabia hii imeanza nao wanatumia watendaji wa vijiji na kata zote kupitia duka kwa duka,nyumba kwa nyumba kukusanya mchango ya mbio za mwenge. Michango wanalazimisha na sio kuomba michango, wakiulizwa bajeti ya mwenge ni Tsh ngapi hawajui, wakiulizwa michango wanampelekea Nani hawajui, mwenge unapita kata mbili tu Kati ya kata 17 , ila wanalazimisha michango kutoka kata zote 17. Serikali isimamishe michango hii mapema na haraka wezekanavyo. Tofauti ya DC sabaya na DC Muro wa hapa Arumeru ni umri.Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.
Unaletewa barua ofisini kwako yenye muhuri na saini ya mkuu wa wilaya ili uchangie, ambapo ni kama ombi lakini kwa namna nyingine ni lazima.
Mama Samia ukiwa kama Rais wetu, wakati umefika wa kutafakari na kupiga marufuku mchezo huu, maana najua hata wilaya nyingine watakuwa wanashurutishwa hivihivi. Je hii mpaka lini? Mama tunaomba utoe nenoView attachment 1796599
Sishauri Mwenge wa Uhuru ambayo ni moja ya Tunu yetu usiwepo au uondolewe kabisa bali nashauri huu Utaratibu wa Kulazimisha Watu, Taasisi na Kampuni Kuchangia kwa lazima upigwe Marufuku na Serikali iwe inatenga Bajeti Maalum kwa Mbio zake nchi nzima.Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.
Unaletewa barua ofisini kwako yenye muhuri na saini ya mkuu wa wilaya ili uchangie, ambapo ni kama ombi lakini kwa namna nyingine ni lazima.
Mama Samia ukiwa kama Rais wetu, wakati umefika wa kutafakari na kupiga marufuku mchezo huu, maana najua hata wilaya nyingine watakuwa wanashurutishwa hivihivi. Je hii mpaka lini? Mama tunaomba utoe nenoView attachment 1796599
Bajeti siku site ipogo hii yakuchangishwa Ni utaratibu mpya na nimeanza kuusikia hvi karibuniSishauri Mwenge wa Uhuru ambayo ni moja ya Tunu yetu usiwepo au uondolewe kabisa bali nashauri huu Utaratibu wa Kulazimisha Watu, Taasisi na Kampuni Kuchangia kwa lazima upigwe Marufuku na Serikali iwe inatenga Bajeti Maalum kwa Mbio zake nchi nzima.
Sasa kama kumbe Bajeti yake ipo inakuwaje hawa Watendaji wa Serikali wanatembeza Bakuli Kuchangisha Wananchi?Bajeti siku site ipogo hii yakuchangishwa Ni utaratibu mpya na nimeanza kuusikia hvi karibuni
So painful [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Sasa kama kumbe Bajeti yake ipo inakuwaje hawa Watendaji wa Serikali wanatembeza Bakuli Kuchangisha Wananchi?
Huenda huu ukawa ni Mradi binafsi wa hawa Watendaji wa Serikali kwa Kushirikiana na Wenzao na Maisha yao yaende.
Hasara kubwa sn watu wataambulia corona na HIVHiyo kibatari haina faida kwa taifa
Sasa tatizo liko wapi? Mbona harusi yako ulipita unatuchangisha tena umeweka na kiwango na ukaishiA kutupa kipaJa cha kuku na castle light moja.Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.
Unaletewa barua ofisini kwako yenye muhuri na saini ya mkuu wa wilaya ili uchangie, ambapo ni kama ombi lakini kwa namna nyingine ni lazima.
Mama Samia ukiwa kama Rais wetu, wakati umefika wa kutafakari na kupiga marufuku mchezo huu, maana najua hata wilaya nyingine watakuwa wanashurutishwa hivihivi. Je hii mpaka lini? Mama tunaomba utoe nenoView attachment 1796599
Haya ni Yale Yale ya DC sabaya kule Hai, kilimanjaro. Serikali ikomesha biashara hii. Kama serikali haina uwezo wa kukimbiza mwenge, inakimbiza mwenge kwa gharama za wananchi basi ifike mahali isimamishe mbio za mwenge.
Hai kilimanjaro, tabia hii imeanza nao wanatumia watendaji wa vijiji na kata zote kupitia duka kwa duka,nyumba kwa nyumba kukusanya mchango ya mbio za mwenge. Michango wanalazimisha na sio kuomba michango, wakiulizwa bajeti ya mwenge ni Tsh ngapi hawajui, wakiulizwa michango wanampelekea Nani hawajui, mwenge unapita kata mbili tu Kati ya kata 17 , ila wanalazimisha michango kutoka kata zote 17. Serikali isimamishe michango hii mapema na haraka wezekanavyo. Tofauti ya DC sabaya na DC Muro wa hapa Arumeru ni umri.
Sishauri Mwenge wa Uhuru ambayo ni moja ya Tunu yetu usiwepo au uondolewe kabisa bali nashauri huu Utaratibu wa Kulazimisha Watu, Taasisi na Kampuni Kuchangia kwa lazima upigwe Marufuku na Serikali iwe inatenga Bajeti Maalum kwa Mbio zake nchi nzima.

Mbona barua ipo poa kabisa?Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.