DC Arumeru atoa siku saba wananchi kung'oa bangi mashambani

falcon Q

JF-Expert Member
Feb 28, 2023
788
2,122
Wananchi wa Kijiji cha kisimiri Juu wilaya ya Arumeru wamepewa siku saba kung'oa miche ya bangi katika mashamba yao baada ya kubainika kuendelea na kilimo hicho licha ya kupigwa marufuku.

Kubainika kwa mashamba hayo katika Kijiji hicho kumetokana na operesheni iliyofanywa na kamati ya ulinzi na usalama katika wilaya hiyo kwa kushirikiana na baadhi ya Wananchi iliyofanyika June 11, 2023 na kufanikiwa kung’oa hekari 60 za zao hilo.

Maagizo hayo yamekuja takriban siku tatu tangu operesheni nyingine iliyofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) iliyoongozwa na Kamishna Jenerali Aretas Lyimo katika vijiji vya Arumeru ambapo gunia 931 za Bangi zilikamatwa Arumeru.

Katika operesheni hiyo iliyofanyika kijiji cha Lesinoni na maeneo ya jirani pia hekari 953 za bangi ziliteketezwa na ilibainika uwepo wa bangi mbichi gunia 4,975 na watu 16 walikamatwa.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Emmanuela Kaganda akizungumza wakati wa operesheni Kijiji Cha Kisimiri ameonya baadhi ya wananchi kuendelea kwa Kilimo hicho na kutoa siku Saba kung'oa bangi mashambani.

#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifaView attachment 2654291
FB_IMG_16865062970250812.jpg
 
#tunaliwezeshataifaView attachment 2654291View attachment 2654292
Home kwetu kabisa huko.

Cc Chaliifrancisco (ndawoo) wa kupuliza Stroke (njeree) Bushmamy
 
... mazingira around Mt. Kilimanjaro ni almost yale yale ya around Mt. Meru. Huko Moshi husikii kilimo cha bhange ila huko Meru ni as if wameshindikana for years! Why?
 
Jiografia ya mlima kilimanjaro na mlima meru ni tofauti
... mazingira around Mt. Kilimanjaro ni almost yale yale ya around Mt. Meru. Huko Moshi husikii kilimo cha bhange ila huko Meru ni as if wameshindikana for years! Why?
 
Bangi hutumika kutengeneza dawa

Utaratibu uwekwe ziuzwe nje ya nchi tupate fedha za kigeni wananchi wajikwamue kiuchumi.
 
Wananchi wa Kijiji cha kisimiri Juu wilaya ya Arumeru wamepewa siku saba kung'oa miche ya bangi katika mashamba yao baada ya kubainika kuendelea na kilimo hicho licha ya kupigwa marufuku.

Kubainika kwa mashamba hayo katika Kijiji hicho kumetokana na operesheni iliyofanywa na kamati ya ulinzi na usalama katika wilaya hiyo kwa kushirikiana na baadhi ya Wananchi iliyofanyika June 11, 2023 na kufanikiwa kung’oa hekari 60 za zao hilo.

Maagizo hayo yamekuja takriban siku tatu tangu operesheni nyingine iliyofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) iliyoongozwa na Kamishna Jenerali Aretas Lyimo katika vijiji vya Arumeru ambapo gunia 931 za Bangi zilikamatwa Arumeru.

Katika operesheni hiyo iliyofanyika kijiji cha Lesinoni na maeneo ya jirani pia hekari 953 za bangi ziliteketezwa na ilibainika uwepo wa bangi mbichi gunia 4,975 na watu 16 walikamatwa.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Emmanuela Kaganda akizungumza wakati wa operesheni Kijiji Cha Kisimiri ameonya baadhi ya wananchi kuendelea kwa Kilimo hicho na kutoa siku Saba kung'oa bangi mashambani.

#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifaView attachment 2654291View attachment 2654292
Hiyo ni biashara kubwa sana na hapo namanga ndata wote ndio biashara yao
 
Back
Top Bottom