DC Arumeru atoa siku 3 bendera za CHADEMA zishushwe wilayani kwake

kuna watu humu walisemaga eti Murro
yuko kwenye system
mim nakataa hakunaga system mjinga wa kiwango hiki
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametoa siku 3 kwa Maafisa tarafa na ma -WEO wote kuhakikisha wanawaweka lupango watu wote wanaokaidi kushusha bendera za CHADEMA wilayani humo.

Amesema mtendaji atakayekutwa kuna bendera inapepea katika kata yake atakuwa amejifuta kazi.

Amesema hayo leo hospitalini alikokwenda kuangalia majeruhi wa ajali.
(mod acha uzi huu tafadhali)
Tafadhari umewaambia maana yaelekea mods ni greenguard
 
Kama ni kweli BC hakika Tanzania yetu TUNAELEKEA nchi ya AHADI ambayo HAKUNA MPENDA HAKI na AMANI yoyote ambaye ATAPENDA kwenda! Cheo ni DHAMANA! Na kila mpanda ngazi HUSHUKA! MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametoa siku 3 kwa Maafisa tarafa na ma -WEO wote kuhakikisha wanawaweka lupango watu wote wanaokaidi kushusha bendera za CHADEMA wilayani humo.

Amesema mtendaji atakayekutwa kuna bendera inapepea katika kata yake atakuwa amejifuta kazi.

Amesema hayo leo hospitalini alikokwenda kuangalia majeruhi wa ajali.
(mod acha uzi huu tafadhali)
Kalewa madalaka
IMG_20190408_232725_0.jpeg
 
Muro kabla hamjaongea mambo kwenye jamii lzm mtumie akili vyama vya siasa vipo kwa mujibu wa katiba sio hisani ya mtu. Huu ni uvunjaji wa katiba na huyu Dc anatakiwa ashitakiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom