DC Arumeru atoa siku 3 bendera za CHADEMA zishushwe wilayani kwake

MITHALI 28: 15-16
Kama simba angurumaye, na dubu mwenye njaa; Ndivyo alivyo mtu mbaya awatawalaye maskini.
Mkuu aliyepungukiwa akili huiwaonea watu sana. Bali achukiaye kutamani ataongezewa siku zake.
 
Hata dikteta Bashiru alisema hivo hivo tafuta clip zake,mwezi uliopita ungemtabiria utakwenda jela wwe angeagiza uchapwe risasi.Dikteta hana heshima miti ikiteleza
Any way Mimi sio mwana siasa,
JAPO NAPENDA AMANI NA MAENDELEO KWA WATz WOTE
 
MITHALI 28: 15-16
Kama simba angurumaye, na dubu mwenye njaa; Ndivyo alivyo mtu mbaya awatawalaye maskini.
Mkuu aliyepungukiwa akili huiwaonea watu sana. Bali achukiaye kutamani ataongezewa siku zake.
Mungu uwashusha wenye kiburi
 

Attachments

  • Screenshot_2019-04-22-16-26-56.png
    Screenshot_2019-04-22-16-26-56.png
    151.3 KB · Views: 25
Kiongozi yeyeto atoaye matamko binafsi na yasiyo ya kikatiba ni jukumu LA wananchi kuwaburuza,kuwapinga mahakamani.Hii usaidia kuwarudisha kwenye mstari wa uongozi. Kiongozi yeyeto wa kiafrica ni lzm aundiwe mfumo wa kumdhibiti ili asiwe laana kwa anaowaongoza sababu viongozi wa kiafrica hawathamini ile Tunu ya thamani waliyokabidhiwa na wananchi ili wawaongoze,pia wanashindwa kutenganisha matakwa binafsi na ya kimajukumu yao ya kikazi hivo kupelekea mgongano.Musiba aropoki tena hovyo hovyo kuchafua watu anafikiria jinsi ya kupata fedha za fidia.Fursa tengenezeni fedha kutokana na matamko ya hovyo hovyo toka kwa viongozi wanaovuka mipaka ya majukumu yao kwa kuwadai fidia.
 
Amalize migogoro ya ardhi kabla hajaanza na chadema
 
Vijana sijui tunakwama wapi, yaani bila kufanya mambo ya kipumbavu hatuwezi kuonekana? Sasa agizo kama hili eti limetolewa na kiongozi wa umma, tena kijana kabisa, this is stupid mbona zipo agenda nzuri tu za namna ya kutatua matatizo ya wananchi na ukizifanya kiueledi zitakupa kiki? Daah nlishasema kuwa kama vijana ndio hawa basi nnaweza kuwa hata Waziri Mkuu kwa hekma na busara nlizonazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom