Namkumbuka mwalimu wangu wa hesabu za seti. Ukiwa na seti mzima ya wananchi basi ndani yake imeundwa na sub-sets za kazi zao kama watumishi wa umma, wafanyabiashara, wakulima, madalali, wezi, matapeli, wanafunzi, wastaafu nk.ambao kila mmoja ana ratiba yake. Kweli kila maisha ni hesabu ndio maana tunaisoma namba awamu hii.