DC ameanzisha operation ya kusaka wakulima fake

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,692
Hii sasa kali , anadai wapo wakulima wengi fake, mtu anajiita mkulima wakati hana shamba wala eneo la kulima, amewataka wajumbe wa serikali za vijiji kupita asubuhi na kuwakamata watu ambao asubuhi hawaendi shambani wakati sio watumishi wa umma, amesema mtumishi asubuhi anakwenda kazini wewe mkulima unakaa nyumbani unafanya nini.
 
Namkumbuka mwalimu wangu wa hesabu za seti. Ukiwa na seti mzima ya wananchi basi ndani yake imeundwa na sub-sets za kazi zao kama watumishi wa umma, wafanyabiashara, wakulima, madalali, wezi, matapeli, wanafunzi, wastaafu nk.ambao kila mmoja ana ratiba yake. Kweli kila maisha ni hesabu ndio maana tunaisoma namba awamu hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom