Daz Baba;tatizo ni dawa za kulevya au tatizo ni kuwa star?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Mastaa wa kibongo wanastafia Madawa ya kulevya.

15825811_1247703591987997_4344206915020403086_n.jpg
 
Stress za jina kubwa huku mfukoni patupu lazima mbadala wa kupunguza mawazo utafutwe.
 
Aisee wadau wa bongo fleva wabadikike wawalipe hawa jamaa vizuri mbona naija haya mambo hamna, mana tunapoangalia Africa music industry kwa sasa ni bongo na naija ndo ime saturate kwa sana!!
 
Aisee wadau wa bongo fleva wabadikike wawalipe hawa jamaa vizuri mbona naija haya mambo hamna, mana tunapoangalia Africa music industry kwa sasa ni bongo na naija ndo ime saturate kwa sana!!
Upo bongo mambo ya Naija huyajui kiundani kama haya ya bongo.

Na wao wanaona bongo pako perfect tu..

Hapa ishu sio hela saa nyingine ni kutokuwa na maamuzi binafsi plus makundi, ukiongezea umarekani kugeza.

Mastaa kibao wenye hela huko mbele wanabwia ungaa hataari, maataajiri kibao ndio starehe yaao. So ishu sio pesaa.
 
Tatizo hawafanyi mambo kwa future akipata hela ya show wanakula bata ikiisha wanatafuta show again wakikosa stress zinaanza
 
Kama masupastaa kama hawa wanatumia madaww sirikali bilashaka itakuwa inawajua wanaowauzia. Mbona haiwadhibiti? Mbwembwe za rais kwamba ataanza na madawa ya kulevya zimeishia wapi
 
Profesa Jay alistruggle kuwashawishi wazazi wawaruhusu watoto wao waimbe, ila kwa hali iliyopo sahivi ni mzazi kichaa pekeyake anayetamani mtoto wake awe msanii wa bongofleva
 
Elimu dunia mwenzenu nilikataa x 2 nilipenda maasi nimekumbwa na balaa, maisha yangu leo naishia mfungwa. Hiko ni kiitikio cha moja ya ngoma yake kali sana inaitwa ELIMU DUNIA.
 
Hizo ni dawa za kulevya tu na c ustaa.kwani level za kuwa star alikua bado hajafikia dogo
 
Daz baba nishakuwa mtu mzima mi
Sasa nahitaji wife wa kuishi nami
Kuzaa na kulea watoto nami
Kwenye shida na raha avumilie nami
Asinifanyie kama barua asababishe nijaribu kujiua
Anipe mapenzi nimpe mapenzi
Naye ayaenzi asinifanyie ushenzi.....
 
Back
Top Bottom