Habari wapenda burudani wenzangu,, naomba kuuliza hi tamthilia inaonyeshwa channel gani kwa sasa, au naweza kuipata wapi, ilikuwa inaonyeshwa miaka ya 98 ctn, it was nice

Haiwezi kukosa kwenye packages za Dstv.Hata hivyo sina hakika kama inaweza kunoga kama ilivyokuwa kipindi hicho ulipokuwa unaitazama. Hata hivy Sami, Lucas, Bo, marlena, Hope, John Blake, Victor Kiriakis.... bado hawajabadilika. Just google Days of Our Lives na pengine utapata hata clues za cast zao za sasa na kituo wanachoonyesha