Nyimbo ya kawaida sana,Hii nchi inaongoza kwa unafiki, hii ngoma imetoka mmekaa kimya, hamsemi wala hamsikilizi
kuna watu wanasikiliza mziki kwa majina ya wasani
Dayna Ft Davido ELO ni ngoma kali sana na hii ni miongoni mwa collabo bora ambazo Davido amewahi kufanya na wabongo
Liana???..msanii mpya huko USA nini?Nyimbo ya kawaida sana,
Sio club banger hata kidogo,ilibidi afanye korabo sio Na Nigeria,angeenda USA akapiga na Liana,Jay-Z, la lil Kim,au au na mwanamziki yoyote wa USA,hizi korabo na wanaija tumeishazizoea,
Sasa kama ni mwendo wa kuigana hakuna tija,Mond kafanya kolabo na Koffi,asubuh yake Bandy nae kafanya !huku ni kukurupuka,
Nenda kacheki song Aye Kati ya Koffi na gaz fabrigous uone kitu kilivyo
Liana+korabo = AiseeNyimbo ya kawaida sana,
Sio club banger hata kidogo,ilibidi afanye korabo sio Na Nigeria,angeenda USA akapiga na Liana,Jay-Z, la lil Kim,au au na mwanamziki yoyote wa USA,hizi korabo na wanaija tumeishazizoea,
Sasa kama ni mwendo wa kuigana hakuna tija,Mond kafanya kolabo na Koffi,asubuh yake Bandy nae kafanya !huku ni kukurupuka,
Nenda kacheki song Aye Kati ya Koffi na gaz fabrigous uone kitu kilivyo
Kama kali kwako usilazimishe iwe kali kwa wengineHii nchi inaongoza kwa unafiki, hii ngoma imetoka mmekaa kimya, hamsemi wala hamsikilizi
kuna watu wanasikiliza mziki kwa majina ya wasani
Dayna Ft Davido ELO ni ngoma kali sana na hii ni miongoni mwa collabo bora ambazo Davido amewahi kufanya na wabongo
nimekulazimisha?Kama kali kwako usilazimishe iwe kali kwa wengine
Unacomplain nini sasa watu kuipotezea?nimekulazimisha?
Kwani mzee baba wewe huna chuki?Sasa hivi watu hawasikilizi tu Muziki, wanaangalia ni ngoma ya nani ?
Muziki umejaa chuki na unafiki na wanaoongoza kujenga chuki ndio wanajifanya kuhamasisha uzalendo.
Mimi nachukia wenye chuki na wengine na wanaopenda kuabudiwa tu.Kwani mzee baba wewe huna chuki?
Basi utakuwa huna tofauti na waoMimi nachukia wenye chuki na wengine na wanaopenda kuabudiwa tu.
I support the underdogs.
Kuwa kwanza mkuu.Basi utakuwa huna tofauti na wao