Ha ha ha Karucee, you really miss ur freedom it seems.
Learn to enjoy ur present; this is not healthy unajua.
mmh, aisee ujana tumeula tofauti.
Sikuwahi kuwa fun wa kutoka usiku kwenda mziki, though I had fun on my own ways.
Ilikuwa raha sana aisee, akyanani uzee ni mboga za majani na ushindwe kabisa.
Ila i was more happy the day i had my first born, siwezi elezea. He has my eyes, his daddy's nose, alinichekesha sana kwa kweli.

kaunga, what I narrate is not an iota of things I have done. But dont get me wrong I would never go back to doing what I did back then. I dont regret, but it just seems insignificant.
kuna upuuzi wa ujanani unachekesha na kufurahisha na unaukumbuka.
Japo kwa sasa hata upewe nini huwezi ufanya tena.
Naona kinachomchosha huyu ni umama, wakati mie ndio moment niliyowahi furahi zaidi.
i know, nahisi kabisa there is something amiss ila sijui ni nini. Kuna mtu aliniambiaga I get busy, labda nijaribu.
kuna upuuzi wa ujanani unachekesha na kufurahisha na unaukumbuka.
Japo kwa sasa hata upewe nini huwezi ufanya tena.
Naona kinachomchosha huyu ni umama, wakati mie ndio moment niliyowahi furahi zaidi.
mmh, aisee ujana tumeula tofauti.
Sikuwahi kuwa fun wa kutoka usiku kwenda mziki, though I had fun on my own ways.
Ilikuwa raha sana aisee, akyanani uzee ni mboga za majani na ushindwe kabisa.
Ila i was more happy the day i had my first born, siwezi elezea. He has my eyes, his daddy's nose, alinichekesha sana kwa kweli.
maybe a 'fling' lol
Hahaha, aisee unawindaga kama simba. Unaanzia mbaaali!