donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hahah mama umeadimika kama kikombe cha babu
ukata tu !hali si hali !enjoy tajiri mtotoHahah mama umeadimika kama kikombe cha babu
Hivi bado kuna ukata kwa.uncle magu? Mbona vyuma vimeachia mama?ukata tu !hali si hali !enjoy tajiri mtoto
Haha, u probably don't know meUmekula kipaja kimoko kwa hela hiyo ukatupigia picha ya jikoni [emoji2] [emoji2] [emoji2]
ahhaaahhahahah !dadeqHivi bado kuna ukata kwa.uncle magu? Mbona vyuma vimeachia mama?
Mi nashangaa?? Nimetoka zangu church nkaona nipitie sehem nipate kidogoahhaaahhahahah !dadeq
Haha huu msemo wa unajua mi nnani utachukua muda sana kutamkwa hadharani 😵 😵 😵 😵Haha, u probably don't know me
Mi nashangaa?? Nimetoka zangu church nkaona nipitie sehem nipate kidogo
yeah kama kaungua vile!ila sio mbayaUmeharibu ulipoagiza vyepe pia kuku kachomwa na moto mkali sana.
Kwa wachoma nyama wote wananifahamu huwa sili nyama ambayo haijaiva vizuri au kubabuliwa kwa moto mkali.yeah kama kaungua vile!ila sio mbaya
Akikujibu niambie.....definately not Rich Coast..Hiyo bbq joint iko wapi/ pande zipi?