Day dreaming!!

Tulip1005

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
38
Reaction score
11
Hello JF!!am a lady 24 by age. Kuna kitu kinanishangaza sana,toka mwaka huu uanze nimekuwa natamani sana and wishing to get married.Sometimes utakuta nimekaa peke yangu naanza ku fantasize kuhusu ndoa.But kila nikiangalia sioni mtu aliye serious!! All I dream about nowdays in a "family". Yaani nikiwa nakula,nikitembea nawaza hichohicho. Is this normal??
 
niPM namb yako mi mwenyewe nawaza hayohayo ya kuoa,pengne mungu ana maksud yake..
 
ndoa za siku hizi ndg yangu ni pasua kichwa hata usikimbilie kuolewa,hebu tengeneza maisha kwanza ndoa itakuja baadae usije kuingia huko ukawa kwenye lile kundi la wake za watu wasiojiheshimu
 
muache mwenzio ajaribu bahati yake
we mpaka Tamwa waje ni lini? lol

hahahaha hao Tamwa nawatafuta kikazi zaidi,asikwambie mtu mie nikisimama barabarani hata muda huu sikosi foleni ya watakaotaka kutangaza nia ya ndoa,lakini nataka nikukurukeeeeeeeeeeeeeee nikiingia huko aaaah kiroho safi kabisa mikono nyuma nakuwa mama kweli.
 
Ufanye basi tukukuruke wote siku moja
nikukomaze komaze
ili ukiolewa usipate tabu lol
 
Endelea kuomba Mungu mwaya. Ila hakikisha hawakuchungulii hadi ufike kwa kasisi. Otherwise utatumiwa tu. Usijikubalie kuwa desperate for anything.
 
Ufanye basi tukukuruke wote siku moja
nikukomaze komaze
ili ukiolewa usipate tabu lol

utanifia kiunoni ww watafute kina Bi.Cheka ndo size yako,mi nimeshakomaa tayari nimekata kuni na kulima sana kijijini kwetu baiskeli ndo usiseme nahisi ndo ilinitoa bi...... sasa unikomaze nn tena.
 
mhm unataka kuolewa...umri umefika tafuta mume kama vipi njoo kwangu ila mie nataka mwanamke asie taka kuzaa
 
utanifia kiunoni ww watafute kina Bi.Cheka ndo size yako,mi nimeshakomaa tayari nimekata kuni na kulima sana kijijini kwetu baiskeli ndo usiseme nahisi ndo ilinitoa bi...... sasa unikomaze nn tena.

:biggrin:
 
ndoa za siku hizi ndg yangu ni pasua kichwa hata usikimbilie kuolewa,hebu tengeneza maisha kwanza ndoa itakuja baadae usije kuingia huko ukawa kwenye lile kundi la wake za watu wasiojiheshimu

mpaka kaanza kufiria kuolewa, mwenzio kajipanga bibie!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…