Day 1 !!! Uhamiaji

Day 1 !!! Uhamiaji

Hakika leo imefika tunasubiri kuona palipo na kweli ni kweli eee mwenyez mungu bariki tume wafanye kweli
 
usipo pata wewe, usimlaum wewe, naye angekulaumu wewe,nyoosha kidole kwake kwako kinakunyoeshea pia, kwa majibu yeyote ni sawa
 
Kwa kila tarajio yapaswa, kuamini na kushukuru!. Mungu awape wepesi wahanga wote wa nafasi hizo, Amin.
 
Back
Top Bottom