Dawasco mnawatesa dada zetu...

BAK mwalimu alikuwa na maono na alifanya kila kitu kwa kuyafakari mno, bahati mbaya sana waliobaki walishindwa kuendeleza maono yake kwa vitendo. Kuna wachache wamebaki lakini hawana uwezo wa kufanya lolote kwakuwa wamefunikwa na kundi kubwa la mbweha na mbwa mwitu wachumia tumbo
Kinachonifariji naona mwanga, naona maono, naona upepo wa mabadiliko ndani ya CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Duh, kumbe kuna wadada wa mjini mafundi hivi!!!
 
Uongo mwingine bwana.......... Huyo ni mama ntilie anaenda kuuza msosi.......

Ni sawa tuchukulie huyo Mama anaenda kuuza msosi wala aendi kutafuta maji. Hivi kweli Tanzania kama nchi imekuwaje tumeshindwa kusambaza maji safi hata tu hapo Dar Es Salaam baada ya miaka 50 ya Uhuru!!!!. Yaani sehemu za mji wa Dar maji ni kwa mgawo na sehemu nyingine kama Kimara na Mbezi ya Morogoro Road maji ya bomba kwao uwa wanayasikia tu. Kama wakazi wa Dar hawapati maji vipi huko vijijini?

Kama Watanzania inabidi tuone aibu kwa hali hii.

Tiba
 

Mtibu huyo Tiba tena mwongezee dozi...kalewa harufu tu ya kilevi cha wanoni wa kaya yetu
 
Last edited by a moderator:
nendeni kwenye profile yangu msipate tabu

Nimeenda Amavubi, nisamehe bure siku zote nilikuwa nadhani wewe ni me! And I was so stupid sikutaka hata kujishughulisha kuchungulia profile
 
Last edited by a moderator:
I think this is more than 50/50! Kweli wapo wanao weza!

Huyu mama hakika ni noma una ndoo kichwani unaendesha baiskeli yenye mzigo rough road road huku unapishana na wenda kwa miguu huku ukiwakwepa wengine bila kusahau bajaj na bodaboda, break za ghafla na bado ndoo kichwani imeganda tuu...mmh si kitu rahisi kama tunavyofikiri
 

Hawa wanaweza basi tu wanatuzuga.
 

Hawa wanaweza basi tu wanatuzuga.
 
Dsm nasikia siku ya tano leo hamna maji,na ndio nimeona juzi ITV wanafunga bomba kerege kweli kazi mnayo,huku kwetu maji 24hrs!
 
Maisha bora kwa kila Mtanzania yatawezekana mara baada ya kukiondoa chama cha wahuni na mafisadi madarakani.
siyo chama cha wahuni siku hizi wanaitwa nyoka ya kijani sor nyota ya kijani
 
Kwa maana ya ID, username, avatar na hata location, hata 'view about me' sio discrete
nimekupata...............Mabibo Makutano anga zangu sana hizo hapo Respect na Amazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…