binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 17,234
- 48,117
Mkuu hiyo statement uloandika ipo sahihi...??[/QUOT
Multiple sex
wadada tuna kazi lol
Koh koh koh, leta ingine baridi
Maisha bora kwa kila Mtanzania yatawezekana mara baada ya kukiondoa chama cha wahuni na mafisadi madarakani.
Aisee nchi yetu inasikitisha sana. Miaka nenda miaka rudi matatizo yale yale tena miaka hii ya karibuni ndio hali inazidi kuwa mbaya sana. Miaka ya nyuma angalau elimu yetu na matibabu vilikuwa na ahueni lakini siku hizi ni shakabaghala. Hawa wanaojiita viongozi wanachakarika kuiba ili nani awe bilionea mkubwa kuliko mwingine wakati ufukara ukizidi kuongezeka kwa kasi ya kutisha.
Halafu kuna vijana wa sasa hawajui hayo ila kupiga kelele tu. Nikikumbuka shule tulizosoma na hizi za sasa na ni bure kweli unaweza kulia na wakati ule vyanzo vya mapato sio kama sasa.
Hicho Mkuu MANI ndio cha kushangaza. Sasa hivi pamoja na misamaha ya kodi kila mwaka ya shilingi 1.5 trillion bado TRA inakusanya shilingi bilioni 800 lakini shule zetu zina hali ya kusikitisha sana ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo ukusanyaji wa kodi ulikuwa ni mdogo sana. Mahospitali yako katika hali mbaya sana. Mapesa yote yanaishia kwenye matumizi ya kifahari, ufisadi na DHAIFU kuzurura katika nchi za watu.
Kuna watu hawajui kwamba zamani shule kulikuwa na mahitaji yote mpaka dispensari zilizojitosheleza leo hii shule hata desk hamna na sijui hayo maabara tunayochangishwa kama yatakuwa na vifaa au navyo itabidi tuchangie.
Halafu kuna vijana wa sasa hawajui hayo ila kupiga kelele tu. Nikikumbuka shule tulizosoma na hizi za sasa na ni bure kweli unaweza kulia na wakati ule vyanzo vya mapato sio kama sasa.