Sisi wananchi wa Mbezi Makabe, Msakuzi Kusini, tumefungiwa mabomba mapya tangu tarehe 10 mwezi wa 5. Ninavyoongea leo mpaka leo maji hayatoki. Walituahidi maji yatakuwa yanatoka mara 1 kwa wiki siku ya Alhamisi. Leo ilikuwa ni siku yeru ya maji.
Cha kushangaza maji hayajatoka. Kufuatilia Dawasco wanasema pump imeharabika. Tunawasiwasi huu ni uongo. Hawa jamaa wa Dawasco wamehongwa na wanaouza maji kwa malori. Miaka yote tunanunua maji lita 1000 kwa sh elfu 15.
Haiwezekan almost miezi 2 hatuna maji mpaka leo. Mabomba na meter zao zimebaki tuu tunaomba Takukuru mfuatilie. Sisi wananchi tupo tayari kutoa ushirikiano.