Ukifika ofisi za Dawasco Kibaha unalipia hela ili ufungiwe maji halafu unaambiwa utafungiwa (kuunganishiwa Maji) baada ya miezi mitatu.Ukiuliza kwa mini mud a mrefu unajibiwa vifaa vinachukuliwa Dar es salaam.Na vifaa vikija unalipa bill ya miezi 3 kabla hujafungiwa yaani laki moja.Waungwana kwa kasi hii tutafika?Hebu tusaidiane kwa wenye ufahamu juu ya hill jambo.